Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Na tulivyokuwa wengi sasa😃😃Watu wapo busy kucheza ligi ni nearly impossible
Na tulivyokuwa wengi sasa😃😃Watu wapo busy kucheza ligi ni nearly impossible
Good game masta 🫂Poapoa
SeenView attachment 3431552@Corrie de killer vs Warld
Senq leo mtandao umenikatili sana,, ila upo vizurii acha niendelee kujifuaView attachment 3431552@Corrie de killer vs Warld
Tuguse friendly mojaSeen
Unatumia mtandao gani.?Senq leo mtandao umenikatili sana,, ila upo vizurii acha niendelee kujifua
Wifi pocket ya airtelUnatumia mtandao gani.?
Nilitoka mkuu upo??Tuguse friendly moja
Akichelewa naomba tukapashe kidogoNilitoka mkuu upo??
Sawaa twende OnlineAkichelewa naomba tukapashe kidogo
Poa mkuu nipo kule onlineSawaa twende Online
Nipo mastaNilitoka mkuu upo??
Noma sio kwa kuzingua hukoWifi pocket ya airtel
Anazima data na kuwashaOya kwani inafanyika michezo gani mbona wananipa loss tu na unakuta naongoza mpaka karibia mpira uishe.
Wabongo jau sana sasa si ujinga huo kwani ukikubali kufungwa kunashida gani, jitu limeweka hadi namba yake ya simu 😡Anazima data na kuwasha