Mbinu za kivitaWabongo jau sana sasa si ujinga huo kwani ukikubali kufungwa kunashida gani, jitu limeweka hadi namba yake ya simu 😡
Ujinga tu wanafanya.Mbinu za kivita
Kaka jamaaa kakusubili mno😀😀
🤣umeingia kichwa kichwa utakula za uso home and away , Kandambili1 ana point zangu sina hofu nae ,nime umia kukosa point zangu kwa RazorbladeWakuu niombeeni nimeenda kucheza na Kandambili1 Room aseee nimezibuliwa haswaaa😃😃😃
Alafu nina game nae za ligi😃😃
Humu ndani kila mtu pro sasa
Mr Devil huyu Kandambili1 hafai kaka😃😃😃 tutafute tu mwingine wa kutupa points🤣🤣🤣🤣
View attachment 3431609View attachment 3431610
Umezikosaje mkuu🤣umeingia kichwa kichwa utakula za uso home and away , Kandambili1 ana point zangu sina hofu nae ,nime umia kukosa point zangu kwa Razorblade
Umeepushwa na zahma mkuu 😂Asee mkuu nikasema ni boost cm chaj kidogo tupande ndo nashtuka saiv 😹🫡
Mkuu huyo sio mimi hahahaha....siwezi furukuta hivo kwako bado najifunzaWakuu niombeeni nimeenda kucheza na Kandambili1 Room aseee nimezibuliwa haswaaa😃😃😃
Alafu nina game nae za ligi😃😃
Humu ndani kila mtu pro sasa
Mr Devil huyu Kandambili1 hafai kaka😃😃😃 tutafute tu mwingine wa kutupa points🤣🤣🤣🤣
View attachment 3431609View attachment 3431610
Mkuu nililala saa 6 hivi baada ya net kuwa ya shida.....pia ni sheria tu ila ningeweza ningependa tucheze game zote 2.
😃😃😃Aweeee michezo hiyoMkuu huyo sio mimi hahahaha....siwezi furukuta hivo kwako bado najifunza
😂tuta kutana tu uko mbeleUmeepushwa na zahma mkuu 😂
Hamna kitu kama hichi mkuu🤣🤣 kuanzia saa 1:30 nitakuwa hewani mkuu....tutachekiana bro...mkawe na productive day😃😃😃Aweeee michezo hiyo
Uje baadae uchukue points zako😃😃😃
Dah! Ile siku nilisema natumia coins 300 tu ili zibaki 1500, kilichonikuta mpaka sasa nahisi huenda kuna kauchawi konami wanatumia 😂😂😂Braza kaka Razorblade habari za Asubuhi 🤣🤣View attachment 3431923
Wewe umekimbja halafu umrsingia usingizi 😂😂tuta kutana tu uko mbele
Nipo Pale niite Didier Drogba Mavambovic😃😃😃Dah! Ile siku nilisema natumia coins 300 tu ili zibaki 1500, kilichonikuta mpaka sasa nahisi huenda kuna kauchawi konami wanatumia 😂😂😂
Baada ya update ya 2026 nimedhamiria kutunza coins mpaka mwaka unaisha.
I can, I must, I will
Acha nitembee na kauli mbiu yangu ya enzi za shule 😂😂😂