Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Ungemchukua tu messi kakaUnaniuliza swali la kiwaki kama hilo nijibu nini sasa 😂
We unanijua nikipata card naileta hapa, niache 😂
Khalas.
Eniwei what is done is done,
Ungemchukua tu messi kakaUnaniuliza swali la kiwaki kama hilo nijibu nini sasa 😂
We unanijua nikipata card naileta hapa, niache 😂
Khalas.
Umemuota Pamela Mamtu🤣🤣🤣Shida nimeota ex wangu kanipa mualiko wa harusi na kama unavyojua huu ndo ulikuwa utajiri wa kuvimba nao 😂😂😂
Ndo hivyo.Nakumbuka tulikubaliana bingwa atapigwa Ban ili apumzike
Yote uliyoandika hapa niliyasema jana 😂Ungemchukua tu messi kaka
Eniwei what is done is done,
Nimemtumia na text ya hongera 😂Umemuota Pamela Mamtu🤣🤣🤣
Mkuu nina ratiba ngumu kwel week hiiSijui jana alikuwa wapi na wakati ilikuwa fainal alipaswa awepo 😂
Umempata??View attachment 3430597
Karibu Santos Fc 😍
View attachment 3430600
Bado naona Konami wamemleta Ronaldo wao siyo wetu, hizi stats kwake ni kumkosea heshima 🚮
Nitambe 😂Umempata??
Congratulations brother 😀😀😀Holy shit this is the luckiest shit i have ever seen.
Nimenunua coin kadhaa nime clear pack ndani ya 30 spins😅View attachment 3430627
Mkuu coins elfu 4 🙄Holy shit this is the luckiest shit i have ever seen.
Nimenunua coin kadhaa nime clear pack ndani ya 30 spins😅View attachment 3430627
Ulinunua coin ngapi😀😀Sifanyi spin mwaka mzima😅
Wakimleta Ronaldo Nazario utanunua tena 😃 😃 😃Na hii ndio mara ya kwanza na ya mwisho kununua coin
Mkuu tufanye exchange basi mie namtaka Ronaldo tu 😂Sifanyi spin mwaka mzima😅
Kwa wema uliojaaliwa nasubiri huruma yako mkuu kunipatia CR7 😂Holy shit this is the luckiest shit i have ever seen.
Nimenunua coin kadhaa nime clear pack ndani ya 30 spins😅View attachment 3430627
Hapo natunza zifike elfu 10 nimfate Vieira au Rijkaard au GullitMkuu coins elfu 4 🙄