Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Hivi hujaona nilichokifanya jana?Wamemleta😃
Nimetupa coins zote zimebaki 10 tu 😂
Hivi hujaona nilichokifanya jana?Wamemleta😃
Ndo nimekuja hapaHivi hujaona nilichokifanya jana?
Nimetupa coins zote zimebaki 10 tu 😂
Ulibonda sana😀😀😹😹 3rd WinnerView attachment 3430296
Pamela Mamtu finally akaumuka🤣🤣🤣Disaster 😅
Huyu ninae leo naweka laini nyingine sitaki nionekane naleta visingizio vya network ya hawa machungwa 😂Ulibonda sana😀😀
Hongera sana kaka you deserved✊
🥳Hongera sana kaka you deserved✊
Dakika 90 zimeamua
Hongera kwa finalists wote pia👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
Bro WTF🙄 ulikuwa unawaza nini😀 umempata nani sasaKupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke 😂
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller 😂
Ni pamoto sana aiseh.....millbroh na selikavu huruma yenu muhimu jahahahaWAKUU, ILE LIGI YETU SASA ITAANZA KUKIMBIZA 🚀
HIZI HAPA FIXTURE 1 & 2 KUANZE KUCHANGAMKA HUMU SASA...
ROUND 1.
View attachment 3430345
ROUND 2.
View attachment 3430347
RULES .
10 Minutes, Conditions both Excellent .. No Extra time & Penalties.
DEADLINE SAA 5:59 USIKU.
CC- NEGAN // Razorblade // Edo kissy // Alexander Lukashenko // Warld // Mr Devil // Kandambili1 // Selikavu // Waterbender // Corrie de killer // Mill broh
Umeamka salama kwel hukupata shida ya kupumua usiku???Natamani kutukana kila aina ya tusi hapa nilipo 😂
Mmeanza kuleta shuhuda🤣🤣🤣 Sasa mkuu si una AMF wa kutosha kabisa😀😀Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke 😹😹
Mkuu kutokana na nature ya humu ndani itakuwa ni ngumu kucheza Round mbili na watu tofautiWAKUU, ILE LIGI YETU SASA ITAANZA KUKIMBIZA 🚀
HIZI HAPA FIXTURE 1 & 2 KUANZE KUCHANGAMKA HUMU SASA...
ROUND 1.
View attachment 3430345
ROUND 2.
View attachment 3430347
RULES .
10 Minutes, Conditions both Excellent .. No Extra time & Penalties.
DEADLINE SAA 5:59 USIKU.
CC- NEGAN // Razorblade // Edo kissy // Alexander Lukashenko // Warld // Mr Devil // Kandambili1 // Selikavu // Waterbender // Corrie de killer // Mill broh
Unaniuliza swali la kiwaki kama hilo nijibu nini sasa 😂Bro WTF🙄 ulikuwa unawaza nini😀 umempata nani sasa
Shida nimeota ex wangu kanipa mualiko wa harusi na kama unavyojua huu ndo ulikuwa utajiri wa kuvimba nao 😂😂😂Umeamka salama kwel hukupata shida ya kupumua usiku???
Sijui jana alikuwa wapi na wakati ilikuwa fainal alipaswa awepo 😂Promoter jau sana😂
Wakuu, pitieni tena hapa kuna mabadiliko.WAKUU, ILE LIGI YETU SASA ITAANZA KUKIMBIZA 🚀
HIZI HAPA FIXTURE 1 & 2 KUANZE KUCHANGAMKA HUMU SASA...
ROUND 1.
View attachment 3430345
RULES .
Game Tatu za mwanzo home and Away
Wa kwanza mpaka wa sita wana qualify kwenda robo fainali...
Wa saba mpaka wa 10 wanaenda Playoffs...
Kumi na moja na kumi na mbili wanakuwa wametoka
Watakaopita Playoffs watakuja kuungana na waliopita moja kwa moja...
Tutapiga robo Ijumaa Jumamosi Nusu fainali Jumapili Fainali league inakuwa imeisha..