NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
CR7 akampumzishe drogba😅Kwa wema uliojaaliwa nasubiri huruma yako mkuu kunipatia CR7 😂
CR7 akampumzishe drogba😅Kwa wema uliojaaliwa nasubiri huruma yako mkuu kunipatia CR7 😂
Aah wapi nilitaka replacement ya nunez hatimaye nimeipata😅Ligi mpen Negan wakuu😃😃yupo Serious na kazi sasa
Kwa heshima yako na wema wako uliotukuka nibless hiyo account, pesa ya coins nitakulipa kwa installment 😂CR7 akampumzishe drogba😅
Oya kuna post nimeona umempata cr7 😅Kwa heshima yako na wema wako uliotukuka nibless hiyo accounts, pesa ya coins nitakulipa kwa installment 😂
Sio replacement ni Upgrade kabisa hii😃😃Aah wapi nilitaka replacement ya nunez hatimaye nimeipata😅
Nilikuwa naota mkuu, ningempata ningekuwa naomba huruma yako hapa? 😂Oya kuna post nimeona umempata cr7 😅
Nipo hapa kama kampata😃😃Oya kuna post nimeona umempata cr7 😅
Sikuchawii kaka we kusanya hela ununue Account yenye Ronaldo simple tuu Negan hawezi kupa Account kaitesekea miaka yote hiyo😃😃Nilikuwa naota mkuu, ningempata ningekuwa naomba huruma yako hapa? 😂
Mkuu ulisema utaacha kucheza game lakini, embu nipatie hiyo account kabisa 😂
Nimepewa kibeki cha Manyumbu hata jina nimekisahau, nimekitimua 😂Sikuchawii kaka we kusanya hela ununue Account yenye Ronaldo simple tuu Negan hawezi kupa Account kaitesekea miaka yote hiyo😃😃
Kwanz umeshatumia hiyo Free??
Drogba anatosha in mboga mboga voice😅Nilikuwa naota mkuu, ningempata ningekuwa naomba huruma yako hapa? 😂
Mkuu ulisema utaacha kucheza game lakini, embu nipatie hiyo account kabisa 😂
Ni vile tu nina mapenzi binafsi na huyu jamaa ila hii card yake ukiweka na card ya Batistuta basi tofauti ni chache sana.Drogba anatosha in mboga mboga voice😅
Tofauti ni ndogo sana sema lile jina lake 🐐Ni vile tu nina mapenzi binafsi na huyu jamaa ila hii card yake ukiweka na card ya Batistuta basi tofauti ni chache sana.
😹😹nika jipigie zangu yule bwana wa HaloteliWAKUU, ILE LIGI YETU SASA ITAANZA KUKIMBIZA 🚀
HIZI HAPA FIXTURE 1 & 2 KUANZE KUCHANGAMKA HUMU SASA...
ROUND 1.
View attachment 3430345
RULES .
Game Tatu za mwanzo home and Away
Wa kwanza mpaka wa sita wana qualify kwenda robo fainali...
Wa saba mpaka wa 10 wanaenda Playoffs...
Kumi na moja na kumi na mbili wanakuwa wametoka
Watakaopita Playoffs watakuja kuungana na waliopita moja kwa moja...
Tutapiga robo Ijumaa Jumamosi Nusu fainali Jumapili Fainali league inakuwa imeisha..
10 Minutes, Conditions both Excellent .. No Extra time & Penalties.
DEADLINE SAA 5:59 USIKU.
CC- NEGAN // Razorblade // Edo kissy // Alexander Lukashenko // Warld // Mr Devil // Kandambili1 // Selikavu // Waterbender // Corrie de killer // Mill broh
😹kwa heshima ya Jf mengine nilikua nayatoa njee kwa makusudiUlibonda sana😀😀
Huruma sio malezi ungemfunga tuu za kutosha😹kwa heshima ya Jf mengine nilikua nayatoa njee kwa makusudi
Razorblade lile jezi baya la kijani ulio ingia nalo nili kubadilishia 😹😹
Amini mkuu Ronaldo ni Ronaldo tu hata mie ningempata Batistuta huenda angeanzia nje maana kumuweka benchi Drogba ingekuwa mbinde 😂Tofauti ni ndogo sana sema lile jina lake 🐐
Haya ngoja tuone upako utakaopata 😂Free spine yangu nitaifanya jumapili kama Edo Kissy nikiwa kanisani 😃😃😃
Kweli kipato huleta majivuno 😂😂😂😹kwa heshima ya Jf mengine nilikua nayatoa njee kwa makusudi
Razorblade lile jezi baya la kijani ulio ingia nalo nili kubadilishia 😹😹