eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Aliyekula kala 😂
IMG-20250804-WA0016.jpg
 
Kwa hapa nilipofikia Vita ya div one imetosha😃😃nitakuwa na Rank nzuri nzuri nzuri kidogo maana napigwa adi nashuka 1740 naanza tena safari ya kulud😃😃

Imetosha


Coins zangu zimeishia pale kwa ronaldo na nitalud tena😃😃
Screenshot_20250804-181322.png
 
Na week hii Alhamic hakuna Form update 😃😃😃
 
Back
Top Bottom