Ndo unatakiwa ukaze kidole 😂Duh gilberto unagonga pass balaa unatumia simu aina gani😅
Duh 1800 coins in the drain😅Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke 😂
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller 😂
Afu umepata nini?Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke 😂
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller 😂
Congratulations champion
Kwani si tulikubaliana bingwa tunamuombea ban ya masaa? 😂
Bingwa una piga Pass 200 uoni goal lilipo 😹😹
Thanks mkuuCongratulations champion
Natamani kutukana kila aina ya tusi hapa nilipo 😂Duh 1800 coins in the drain😅
Goli nalifuata taratibu sina haraka nalo 😂Bingwa una piga Pass 200 uoni goal lilipo 😹😹
Sikuwepo kwenye hayo makubaliano 😂🤞Kwani si tulikubaliana bingwa tunamuombea ban ya masaa? 😂
Hongera mkuu.
Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke 😹😹Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke 😂
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller 😂
Unataka nipate nini mkuu zaidi ya kubaki masikini tu, hata sijui nilikuwa nafikiria nini aisee 😂Afu umepata nini?
kama haujapata kitu, Si bora ungejaribu kesho kwa Ronaldo mana watakuwa wengi pale showtime players zaidi ya 10
Promoter aje tuwaite mods 😂Sikuwepo kwenye hayo makubaliano 😂🤞
Utajiri wa coins niliokuwa nao hauwezi linganisha na hizo coins ulizopoteza 😂Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke 😹😹