Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,027
- 12,556
Halotel š”
Nme ku invite tena kumbe usha toka ,
Mkuu umekuwa ukinyang'anya mpira miguuni, bure kabisa leo šIcho kikosi nicha siku ile ?
Selikavu Sheria ina ruhusu kuwekewa kikosi B š¹
Mechi ni 1 tu mkuu sasa nikae room nafanya nini na mtandao unanikonyeza.Nme ku invite tena kumbe usha toka ,
Disaster šš¹š¹ 3rd WinnerView attachment 3430296
Mkuu hii mechi ulikuwa unashinda 10+ šš¹š¹ 3rd WinnerView attachment 3430296
imeisha hiyo mkuu.Ratiba leo itatokaš
Mechi mida hii ya saa nne mpka saa sita kamili ndo huwa zinachezwa...
Kwahiyo ikifika mida hii njoo umngojee opponent wako
Niacheni tu, kesho nitafute laini nyingine šDisaster š
š¹š¹ukaona utafute possession tu mi mipasi ,Mkuu umekuwa ukinyang'anya mpira miguuni, bure kabisa leo š
Tumewahi cheza mkuu? Hahahaha....nilikuwa naunda kikosi vipigo bado vipo vingi...utaona kesho.A wapi mkuu we mbabe tunakiwasha mda mwingiš
Pia imeshindikana maana bado nilikuwa naganda šš¹š¹ukaona utafute possession tu mi mipasi ,
Naingia onlineNimefika muda wenyewe kaka, twenzao
NipoNaingia online
Samsung Ram 4 šDuh gilberto unagonga pass balaa unatumia simu aina ganiš