mkuu nafikiri kuongeza ushindani na kuondoa visingizio smart assist iwepo..View attachment 3429969
JF Champions League Season two
Season one inaisha leo
Kesho jumatatu tutaanza season two
tutaenda na Format kama ya Uefa
Game Tatu za mwanzo home and Away
Wa kwanza mpaka wa sita wana qualify kwenda robo fainali...
Wa saba mpaka wa 10 wanaenda Playoffs...
Kumi na moja na kumi na mbili wanakuwa wametoka
Watakaopita Playoffs watakuja kuungana na waliopita moja kwa moja...
Tutapiga robo Ijumaa Jumamosi Nusu fainali Jumapili Fainali league inakuwa imeisha...
Tunangojea Efootball 2026 tukishalipata tunaanza tena
Sheria za Ligi..
Mechi za awali ni dakika 10 condition excellent for both, No Extra Time and Penalties
Mtoano utaratibu utabadilika
No hacking na Smart assist ili tuwe sawaa wote
Japo hili la Smart Assist tutalizungumza maana watu walishazoea kucheza nayo kuwabadilisha inaleta shida kdg tunakosa ushindani...
Usipotokea bila sababu ushindi atapewa opponent
Naomben maoni wadau kuhusu ligi yetu
NEGAN Edo kissy Gilberto_ Razorblade Mill broh Mr Devil Waterbender Alexander Lukashenko Corrie de killer Kandambili1 Warld
Sheria haipaswi kubadilishwa, No smart assist No man marking.View attachment 3429969

Smart assist iwepomkuu nafikiri kuongeza ushindani na kuondoa visingizio smart assist iwepo..
Maana kulikuwa na malalamiko kwa hii phase 1 Kushutumiana kuitumia smart assist na mwingine anakataa...
Kama vile tulivyoruhusu matumizi ya pad nafikiri smart assist iruhusiwe pia kwa pande zote 2.
Kuna wengine tutasema hatutumii lakini kabla ya mechi tutawasha
Mkuu nitajaribu kubadilisha username kisha nitaleta hapa hilo ulikoweka sijapenda 😂Washiriki wa league na Username zao Efootball
Selikavu Myunani
NEGAN Septer
Mill broh Toshmill
Mr Devil Thunderkick
Waterbender Cybertrust
Warld Mjukuu11
Kandambili1 Kandambili1
Edo kissy Edo kissy
Gilberto_ heisGilberto
Alexander Lukashenko AmirMaftah
Razorblade Pamela Mamtu
Corrie de killer Corie_De_killer
Tulia dawa ikuingie 😂😹😹 jiandae kukutana na back 5, ushauriv usi peleke beki mbele uta nikuta nyuma ya beki zako .
Dah 😂
Tumuache tu mkuu maana ameingia kwa Putin halafu anasema Trump ndo Rais wa Urusi, nadhani kitakachofata kinajulikana 😂Wajumbe mjibuni huyu.
Huyo pamela katokea wapi 😅Washiriki wa league na Username zao Efootball
Selikavu Myunani
NEGAN Septer
Mill broh Toshmill
Mr Devil Thunderkick
Waterbender Cybertrust
Warld Mjukuu11
Kandambili1 Kandambili1
Edo kissy Edo kissy
Gilberto_ heisGilberto
Alexander Lukashenko AmirMaftah
Razorblade Pamela Mamtu
Corrie de killer Corie_De_killer
Ur right 😃Fifa mobile ndio habari ya mjini
Braza nangojea league ianze 😃😃tukamkabe Puskas 😃😃mkuu nafikiri kuongeza ushindani na kuondoa visingizio smart assist iwepo..
Maana kulikuwa na malalamiko kwa hii phase 1 Kushutumiana kuitumia smart assist na mwingine anakataa...
Kama vile tulivyoruhusu matumizi ya pad nafikiri smart assist iruhusiwe pia kwa pande zote 2.
Kuna wengine tutasema hatutumii lakini kabla ya mechi tutawasha
Man marking hiyo ni tactics kama tactics nyingine 😃😃😃Sheria haipaswi kubadilishwa, No smart assist No man marking.
Niliona phase 1 matokeo hayaendi vizuri kwako sababu umeizoea smart assist...kibonde nimefika mtajipatia point za Bure.Tunawashaaa 😂🙌
Usipoleta nitazidi kukubless mengine Mazuri kutokana na Initial zako 😃😃😃sawaa Mr Kumaliza Maliza (KM)Mkuu nitajaribu kubadilisha username kisha nitaleta hapa hilo ulikoweka sijapenda 😂
Adi padi tena😃😃aseeekesho nakuwa na pad haha ngoja niazime mapema.
Niliona phase 1 matokeo hayaendi vizuri kwako sababu umeizoea smart assist...kibonde nimefika mtajipatia point za Bure.
hakabiki huyo mkuu hahahaha......usishangae kuona sura mpya kwenye kikosi changu ..Braza nangojea league ianze 😃😃tukamkabe Puskas 😃😃
Binafsi ili tusiwanyime watu uhuru acheze tuu na smart assist kama ni mtumiaji sisi wengine tutajifunza kuwazuia
..
Bado napokea maoni kwwnye hili la Smart assist
Huyu jamaa username yake ni moto sana😃😃Huyo pamela katokea wapi 😅
Mkuu hizo biti tu pad natolea wapi usiku huu hahahahaAdi padi tena😃😃aseee