carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 654
- 1,543
Tukiwashe liniMara ya mwisho kucheza hizi mechi mbili sijui ni lini
Alafu upo mkuu umeadimika
Tukiwashe liniMara ya mwisho kucheza hizi mechi mbili sijui ni lini
Alafu upo mkuu umeadimika
next week mkuu...Tukiwashe lini
Huyu mimi kabisa 😂
Yani kuenda training kwa sababu yako ni kumaliza bando tu 😂Razorblade unaendeleaje na mazoezi?
Powa 😂 utanistuaYani kuenda training kwa sababu yako ni kumaliza bando tu 😂
Nipe muda kidogo nilikuwa nawaangalia hawa watoto wa mama samia 😂
😹Razorblade unaendeleaje na mazoezi?
Uhakika.Powa 😂 utanistua
We umeenda kupika auUhakika.
Mkuu kifurushi kiliisha hapa imebidi ninunue kwa kutumia tuzo point sijui kama zitatoboa 😂We umeenda kupika au
Kwani matuta unafika na nani? 😂🙌Mkuu kifurushi kiliisha hapa imebidi ninunue kwa kutumia tuzo point sijui kama zitatoboa 😂
Sitaki tufike matuta njoo umalize kazi mapema nimechoka sana leo 😂
Ushaanza mind game 😂.. haya ingia kwa game tukakimbizaneMkuu kifurushi kiliisha hapa imebidi ninunue kwa kutumia tuzo point sijui kama zitatoboa 😂
Sitaki tufike matuta njoo umalize kazi mapema nimechoka sana leo 😂
Haya njoo uone pira uchovu 😂Kwani matuta unaafika na nani? 😂🙌
Simu yenyewe imeanza kuniandikia storage running out, leo kazi ipo 😂Ushaanza mind game 😂.. haya ingia kwa game tukakimbizane
Simu imeishiwa pawa🤣🤣🤣Simu yenyewe imeanza kuniandikia storage running out, leo kazi ipo 😂
Ila inanistiri 😂Simu imeishiwa pawa🤣🤣🤣