eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Razorblade, Good game. How did you feel now? 😂💔
eFootballâ„¢_2025-08-02-23-55-27.jpg
Adams lazima akushuhulikie si ulisema juzi kakuotea.
eFootballâ„¢_2025-08-02-23-55-34.jpg
eFootballâ„¢_2025-08-03-00-10-56.jpg
Narudi 😂🤞🙌
 
next week mkuu...

Kuna ligi inaendelea humu mkuu...

Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza

Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Niweke
next week mkuu...

Kuna ligi inaendelea humu mkuu...

Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza

Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Niweke ( Mjukuu11
 
Razorblade, Good game. How did you feel now? 😂💔 View attachment 3428926Adams lazima akushuhulikie si ulisema juzi kakuotea.View attachment 3428928View attachment 3428927Narudi 😂🤞🙌
Hakuna nilichofeel aisee yani naingia room tu mechi ya kwanza simu nayo inaita 😂

Unalazimisha kumwambia lala upumzike usiku sasa lakini wapi 😂😂😂

Mechi ya pili nikaona bora nirelax tu nijipigie vipasi vyangu golini 😂
 
Pasi zote kwa kipa nilimind ndo mana nikawasha full red na mimi😂
 
Umalaya tu 😂😂.. mi sikuizi nikiingia game nazima hiyo laini ya mawasiliano sitaki kelele. Mtu unaongoza mechi ya muhimu goli 3 kwenda mbele afu unakatishwa tu 😂💔View attachment 3428970
Tatizo ni simu 2 kaka kwahiyo nikiwa kwenye game ni rahisi mtu kujua maana umakini kwenye maongezi hupungua 😂
 
Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
Screenshot_2025-08-03-05-43-29-17_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Screenshot_2025-08-03-05-56-58-06_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA 😂
 
Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162

NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA 😂
Mwache hiyo slot one tumia slot 2 sasa mpk apate LMF

hIzo slot zote mbili inabid ziwe na LMF
 
Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162

NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA 😂
Coin zako na hizo position training tutazidiscuss baadae😀😀😀
 
Back
Top Bottom