Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Wana mnanichomolea betri ndiyo uwana gani huo 😂🤣🤣🤣Sisi ndo wanako sasa huna wana wengine 🤣🤣🤣
Wana mnanichomolea betri ndiyo uwana gani huo 😂🤣🤣🤣Sisi ndo wanako sasa huna wana wengine 🤣🤣🤣
You don't need enemies if you have buddies like us🤣🤣🤣Wana mnanichomolea betri ndiyo uwana gani huo 😂
I still repeat....You don't need enemies if you have buddies like us🤣🤣🤣
Uku kwenye web yao huwa sifiki kabisa , incase account yako ikiliwa kichwa afu we upo Tz na uli select Japan kuirudisha itakua shuhuli
Kuna account nilikuwa nabadilisha email😃😃😃nikakutana nayo hapa nawaza sijui nihamie japan tuu🤣🤣🤣Mi mwenyewe sielewi, kwani ulikuwa umefuata nini huko? 😂
Tutatumia VPN😃😃😃ngoja niwe wa mfano 😃😃Uku kwenye web yao huwa sifiki kabisa , incase account yako ikiliwa kichwa afu we upo Tz na uli select Japan kuirudisha itakua shuhuli
Nasikia baada ya Update tutaanza kuspine kwa GP😃😃😃😅booster zimekua hadimu.puyol ana tembea nq goalkeeping
View attachment 3428348
Legacy transfer/player fusion kaka ni so expensive inanimalizia gp😀Nasikia baada ya Update tutaanza kuspine kwa GP😃😃😃
Nakuona kaka una million 38😃😃😃
Alafu kuna NEGAN 😃😃😃 Gp Sijui hiwa anazitoa😃😃😃
😃😃😃😃Ile ya skills alafu umenikumbusha nimfanyie Cannavarro hana skill ya pass hata mojaLegacy transfer/player fusion kaka ni so expensive inanimalizia gp😀
Kwani mkuu inamaana kikosi chako chote mpaka reserve huna wachezaji ambao hawana faida? 😂😅booster zimekua hadimu.puyol ana tembea nq goalkeeping
View attachment 3428348
Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki 😅😅Kwani mkuu inamaana kikosi chako chote mpaka reserve huna wachezaji ambao hawana faida? 😂
Release michezaji ya hovyo upate booster.
Bakiza wachezaji wa event mzee😃😃😃maswala ya kuingia event na standard players yanakera mno😃😃😃Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki 😅😅
Muhimu iyoBakiza wachezaji wa event mzee😃😃😃maswala ya kuingia event na standard players yanakera mno😃😃😃
Dah! Umeupiga mwingi 😂Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki 😅😅
Mara ya mwisho kucheza hizi mechi mbili sijui ni lini