eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162

NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA 😂
Uyu ata aki kubali rate yake itashuka
Screenshot_20250803_074843_eFootball.jpg
 
Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162

NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA 😂
Hamia slot ya pili, baada ya kupata hiyo LMF ya kijani ambayo haijakolea mkuu.
 
Screenshot_2025-08-03-08-35-25-18_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Nimekerekwa sana huyu amemaliza booster zangu halafu kumbe anahitaji kocha wa booster 2 ndo afike rate ya 100 😡

Selikavu tafuta training guide za kufika 100 kwa kocha yeyote 😂
 
Back
Top Bottom