Njoo kwanguππ€£π€£Hakuna timu ambayo wachezaji wote watakuwa na role ya kukaba π
Don't look down on my guys..Huyo kwangu thamani yake ni Selection Booster π
Ni kukamia tu ila kiuhalisia haipo hiyo πNjoo kwanguππ€£π€£
Kuna game Van busten kakaba namba 6 pale mpka nimecheka
Ni mchezo tuuNi kukamia tu ila kiuhalisia haipo hiyo π
Sawa.Ni mchezo tuu
Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambiaπ€£π€£π€£
πππ₯ we kimya kimya umecheza lini na ulisema hauna simu?Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambiaπ€£π€£π€£
Hapana kaka nimecheza leo asubuhi nimeweka account kwa jamaaππππΉulikua una kaza vidole kimya kimya
Leo asubuhi nilisema enough is enough let me do something View attachment 3428077
eFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game ππNa wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda π
Kabla simu haijaloga nilikuwa na points 1697 nadhan niilisema hiliπππππ₯ we kimya kimya umecheza lini na ulisema hauna simu?
HONGERA KWANZA.. afu jitetee π
Pvp kaka Ai nimemuachia NEGANππAI au PVP
iPhone imekupush πKabla simu haijaloga nilikuwa na points 1697 nadhan niilisema hiliππ
Leo nikaweka account kule kwa jamaa wa Rashford nikacheza
π€£π€£π€£π€£eFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game ππ
Kumbe ukichezea Iphone game tamu bhanaπ€£π€£π€£iPhone imekupush π
Upumzike sasaπWakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambiaπ€£π€£π€£
Unapenda sana kulala mkuu, amka kumekucha πππeFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game ππ
Hapa hata nisipocheza mwaka mzima fresh ππUpumzike sasaπ
Endelea kupambana mkuu, tafuta rank za juu πHapa hata nisipocheza mwaka mzima fresh ππ
Last time uliniambia now nikiamua kupush kwenda division one nawezaππ
Nikasema acha niishi na hiyo kauliπππββββπ₯π
Unapenda sana vitaπ€£π€£π€£Unapenda sana kulala mkuu, amka kumekucha πππ