eFootball Special Thread

Dah sijatulia hata ngoma imelud tena kati sijakaa sawa chuma cha pili...

Wakati bado najiuliza nimefungwaje hizi mbili kinaingia cha tatu na cha nne nikasema nimewezwa leo😀😀
Sasa kipindi cha pili nikataka nifanye tu mazoezi ya kupossess dah ikawa fursa kwako 😂.
 
😂😂😂 Kwel uliniokota
Hamna mkuu huwa nikiwa bado kwenye mazoezi ya tactic sijali kuhusu kufungwa, huwa naangalia sana madhaifu yatakuwa wapi ili nirekebishe, nilikuwa nataka nipossess ili kuzoea hiyo tactic pia maana Quick Counter kwa kiasi tayari nimeanza kuizoea.
 
Kuna jamaa nilikutana nae master wa possession game ngoja nikamwangalie Group kama atakuwepo
 
Code mkuu.
 
Kwa upande wangu nina tatizo la kutoa boko na nimeruhusu kufungwa sana kwa namna hii na tatizo lingine ni kwenye kutumia nafasi hasa nikikutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kuzuia.
Siku mbili hizi nmejifua kidog jinsi ya kuzitumia nafasi vyema., ebu nikusanye coin nikanase kocha mwenye double boster
 
Kwa upande wangu nina tatizo la kutoa boko na nimeruhusu kufungwa sana kwa namna hii na tatizo lingine ni kwenye kutumia nafasi hasa nikikutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kuzuia.
Kuhusu kufungwa dakika za mwisho fanya sub ya beki moja na kiungo around dakika ya 65 weka fresh legs itakupunguzia maboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…