Itakuwa booster na kochaKwangu kabaki 105 ila kawa fundi zaidi π
Huyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.Itakuwa booster na kocha
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ππHuyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.
Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izoπΉπΉUlimfunga booster gan
Ulikua sahihi πΉπΉUnaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ππ
Konami jau sanaπππUlikua sahihi πΉπΉ
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ππ
Daah πππKapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izoπΉπΉ
Hahaha hizi booster random ni moto mkuu hahahaha ..Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izoπΉπΉ
Niliachiwa na raraa rereeπππKwani Edo kissy unatumia bot au maana unareact haraka sana π
Daah! Kweli aisee πNiliachiwa na raraa rereeπππ
Naona opponents wanatukimbia mkuu πHatari sana
Ngoja niendelee kumsubiri opponent wangu naona wako kashafika.Mr devil Mzee wa saa Tano.