Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Sasa kaka unataka nibadilishe sheria kisa wewe umefikisha point 6😃😃Mkuu embu chukua hiyo table halafu mpe jirani yako aiangalie 😂
Wewe unachotaka kuchezesha hakipo ila chuki binafsi 😂
Wajumbe niliwaomba huyu mtu abaki huko huko chini asije juu😃😃😃mmemwacha ona anaanza kutamba sasa😃😃