Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Itakuwa booster na kochaKwangu kabaki 105 ila kawa fundi zaidi 😂
Itakuwa booster na kochaKwangu kabaki 105 ila kawa fundi zaidi 😂
Huyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.Itakuwa booster na kocha
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts 😃😃Huyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.
Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo😹😹Ulimfunga booster gan
Ulikua sahihi 😹😹Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts 😃😃
Konami jau sana😃😃😃Ulikua sahihi 😹😹
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts 😃😃
Daah 😂😂😂Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo😹😹
Hahaha hizi booster random ni moto mkuu hahahaha ..Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo😹😹
Niliachiwa na raraa reree😂😂🙌Kwani Edo kissy unatumia bot au maana unareact haraka sana 😂
Daah! Kweli aisee 😂Niliachiwa na raraa reree😂😂🙌
Naona opponents wanatukimbia mkuu 😂Hatari sana
Ngoja niendelee kumsubiri opponent wangu naona wako kashafika.Mr devil Mzee wa saa Tano.