Mr Devil good game mkuu View attachment 3426550NEXT???😁
Hamna ila simu yangu leo inazingua kiasi kwahiyo aje ajinyakulie point zake 😂Mkuu umejikatia tamaa 😀
😃😃Aah sawa sawa mkuu😁😁🙌
Promoter muda unaenda na opponent hatokei, imekaaje hii? 😂😃😃Aah sawa sawa mkuu😁😁🙌
Utakula point tatu kakaPromoter muda unaenda na opponent hatokei, imekaaje hii? 😂
Tuma table mkuu.Play offs
3 vs 5 (Cap 1)
4 vs 6 (Cap 2)
Nusu itakuwa hivi
1 vs winner of Cap 2
2 vs winner of Cap 1
Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nipite kama best loser.Wakuu polen na match za leo kwa wale mliofanikiwa kucheza Hongeren ...
Kwa wale wa point za mezani sina cha kuwaambia🤣🤣
Matokeo ya leo ni hayaView attachment 3426563
Msimamo View attachment 3426564
Hatua inayofata ni playoffs kama ambavyo nilitoa ratiba itakavyokuwa kulingana na msimamo mechi za playoffs ni zifuatazoView attachment 3426568
Njia yangu ilikua ngumu sana😀Hii league inasema hakuna kumkimbia mtu mtacheza tuu🤣🤣🤣🤣
Unaogopa playoff kijana😀Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nimite kama best loser.
Hapo wa mwisho anatakiwa atoke moja kwa moja halafu wa 4 na 5 ndo wacheze play off, kunipanga nicheze play off hapo itakuwa siyo sawa.