Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,028
- 12,559
Siogopi kaka ila angalia table ilivyo yani mimi nina point 6 halafu nikacheze play off wakati kuna watu wamefungana points na mmoja hana kabisa.Unaogopa playoff kijanaš
Siogopi kaka ila angalia table ilivyo yani mimi nina point 6 halafu nikacheze play off wakati kuna watu wamefungana points na mmoja hana kabisa.Unaogopa playoff kijanaš
Simkimbii mtu mkuu ila kwa hali ya kawaida kimichezo huwezi nipanga kucheza play off wakati kuna mtu hana point kabisa na kuna watu wamefungana pointsMill broh hakimbiwiš
Ukipita kama best loser wanabaki watatu playoff itachezwa ajeSiogopi kaka ila angalia tabke ilivyo yani mimi nina point 6 halafu nikacheze play off wakati kuna watu wamefungana points na mmoja hana kabisa.
Kwa table ilivyo play off inatakiwa iwe 1 tu hapo kwa hao waliofungana halafu Edo anatoka moja kwa mojaUkipita kama best loser wanabaki watatu playoff itachezwa aje
Nina point 6 unanichezesha play off na mtu anapoint 3 halafu mwenye point 3 acheze na ambaye hana point, haki haipo hapo šSelikavu hoja ipo hapa
Kaka league ina watu wachache itakayoanza jumatatu ndo itakuwa fairššMkuu hapo umezingua, nilitakiwa nipite kama best loser.
Hapo wa mwisho anatakiwa atoke moja kwa moja halafu wa 4 na 5 ndo wacheze play off, kunipanga nicheze play off hapo itakuwa siyo sawa.
Umevipiga vita sanaNjia yangu ilikua ngumu sanaš
Wewe chezesha ligi fair hapo hakuna cha Jumatatu, hii nakata rufaa kabisa šKaka league ina watu wachache itakayoanza jumatatu ndo itakuwa fairšš
Anamkimbia Mill Broh Wakati imeandikwa lazima ukakabe back 5 plus full blue barsšUnaogopa playoff kijanaš
Huyo najua nitakutana nae tu nusu ila kwa kuzingatia matokeo ya sasa haki itendeke šAnamkimbia Mill Broh Wakati imeandikwa lazima ukakabe back 5 plus full blue barsš
Kwan kaka tulikubaliana kutakuwa na best loserššWewe chezesha ligi fair hapo hakuna cha Jumatatu, hii nakata rufaa kabisa š
Mkuu embu chukua hiyo table halafu mpe jirani yako aiangalie šKwan kaka tulikubaliana kutakuwa na best loseršš
Mkuu mimi sijitetei hapa ila kchezesha play off katika ya Mr Devil mwenye point 3 na Edo mwenye 0 siyo sawa, kuchezesha play off kati yangu mwenye point 6 na Mill mwenye point 3 siyo sawa.Kivumbi leo š Razorblade View attachment 3426574
šššLakin si nilitoa mwongozo mapemaKwa table ilivyo play off inatakiwa iwe 1 tu hapo kwa hao waliofungana halafu Edo anatoka moja kwa moja
Yaani unachezeshaje play off ambayo kuna mtu hana point kabisa š
Cheza na mill bro kwanza alafu tutakuja tuzungumzešššNina point 6 unanichezesha play off na mtu anapoint 3 halafu mwenye point 3 acheze na ambaye hana point, haki haipo hapo š