Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Semaa Totti hayupo tuu😃😃😃Hii nzuri nimeipenda kila weekend tuna rotate
Semaa Totti hayupo tuu😃😃😃Hii nzuri nimeipenda kila weekend tuna rotate
Unatamba mno mwanangu aina noma tungojee🤣🤣Tulia uone nitakavyomkimbiza huko room 😂
Mnapeana moyo sio😃😃Hakika, bila kuchoka kwa heshima
Na bado me nitakukumbusha😃😃😃View attachment 3422589
View attachment 3422600
UMEWEKA SIKU MBALI ILI NISAHAU SIO 😂
TUNZA HIYO KAULI YAKO.. NISHAKUWEKEA REMINDER 😂😂
Ulikuwa na ile Tournament Organizer mkuu we panga timetable tuma kaka😃😃Hivi kwanini ambao tuko active tusiwe tunapiga mechi kwa mfumo wa mpya wa UEFA(Premier+Knock out)?
Amrabat usimweke🤣🤣🤣Mpaka umfikie Cannavaro uhakiishe umempita Rodri na Camavinga au nitakuwekea Rodri na Amrabat 😂
Muhimu kuandaa mazingira nje ya uwanja 😂Unatamba mno mwanangu haina noma tungojee🤣🤣
Huwezi fungwa kote kote sio 😃Muhimu kuandaa mazingura nje ya uwanja 😂
Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu 😂Amrabat usimweke🤣🤣🤣
Hata sijawahi itumia zaidi ya kuidownload tu, tumpe hili jukumu Gilberto_ nakumbuka yeye alisema alishawahi kuandaa tournament.Ulikuwa na ile Tournament Organizer mkuu we panga timetable tuma kaka😃😃
Hama Amrabat atahusika halafu wote na Rodri nawapa Deep line 😂Amrabat usimweke🤣🤣🤣
Huo utakuwa uzembe 😂Huwezi fungwa kote kote sio 😃
Amrabat kwenye timu yake namchukia kwel😃😃😃abakaba yule umbwaaa🤣🤣🤣Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu 😂
Mbona inafahamika tuuHata sijawahi itumia zaidi ya kuidownload tu, tumpe hili jukumu Gilberto_ nakumbuka yeye alisema alishawahi kuandaa tournament.
Muhimu kwanza tujue idadi ya watakaokuwa active.
Niweke DMF watatu ili creativity ipungue?Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu 😂
Ngoja aje kama itakuwa ngumu kwake kuandaa, nitaandaa.Mbona inafahamika tuu
Wewe, yeye Negan, Edo kissy Mill Bro na Mr Devil
Itakuwa unyamaNgoja aje kama itakuwa ngumu kwake kuandaa, nitaandaa.
Saiv upande wake alikuwepo Cannavarro 😀😀Drogba wangu unamjua 😂