Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 906
- 2,518
Alafu hata huyo Beckham anafika 102 kwa huyo kocha.Kutana na Guardiola wa 102View attachment 3416111
Alafu hata huyo Beckham anafika 102 kwa huyo kocha.Kutana na Guardiola wa 102View attachment 3416111
Muda wa kuumiza kichwa sasa😃😃Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
booster yake ni ipi kakaAlafu hata huyo Beckham anafika 102 kwa huyo kocha.
Sawa mkuu 😂.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
Ngoja nakupa trainings na boosterB
booster yake ni ipi kaka
Huyu jamaa na Quick match bora umuue😃😃😃 hawez acha kucheza🤣🤣Sawa mkuu 😂.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?
Fanya hivyo kaka utakuwa umetishaNgoja nakupa trainings na booster
Nimekuambia Xabi Alonso maana huwa unalalamika sana hapo kati kati😃😃😃😃🤣Bado sijajua namchukua nani
Tatizo pale wananiletea sana watu wana strength za 2000+ hawatoi ushindani😅Sawa mkuu 😂.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?
Booster, Technique.Fanya hivyo kaka utakuwa umetisha
Pale wengi wasiojua game wanagusa tu.. hata mi kipindi nimeanza nilikuwa nacheza pale, nikitoka events nahamia pale 😄Tatizo pale wananiletea sana watu wana strength za 2000+ hawatoi ushindani😅
DANIELSON mkuu, hautojutia maamuzi yako 🙌🤞Bado sijajua namchukua nani
Huyu mwamba(Cannavaro) juu anaenda vizuri tu.Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
Utani wa ngumi huu😀DANIELSON mkuu, hautojutia maamuzi yako 🙌🤞
Sehemu yangu ya training hiyo 😂Pale wengi wasiojua game wanagusa tu.. hata mi kipindi nimeanza nilikuwa nacheza pale, nikitoka events nahamia pale 😄
Unyama kaka✊Booster, Technique.View attachment 3416518
Unatumia Japan mkuu😃😃😃Welcome to the club
View attachment 3416512
Cannavarro wako mtrain CF kaka anafunga mno🤣🤣🤣