Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,160
- 10,402
Kamchukue.Kipa wa 105 ni Rare case mzee
Kamchukue.Kipa wa 105 ni Rare case mzee
Haya chomeshaneni sasa mie nimekaa pale na Kahn wangu 😂Mbilikimo hiyo akikutana na Drogba wa Razorblade hatoboi😀
Wadau wanadai Kahn mashuti ya mbali ni paziaView attachment 3416490
Nimekaa naiangalia hawa epic halafu najisemea kama ingekuwa ile ya juzi ni selection contract sidhani kama ningepita na kipa, kiu yangu ilikuwa ni CB na SS wa asili.
Ila wakanipa kitu ambacho kikaupoza moyo kwa kiasi kikubwa 😂
View attachment 3416493
Ningechukua canavaro sema tayari nina destroyer Rudiger 104Haya chomeshaneni sasa mie nimekaa pale na Kahn wangu 😂
Ila msijesema sikuwatahadharisha 😂
Me mwenyewe nilispine tuu nilivyoletewa Van Basten nikasema walete🤣🤣View attachment 3416490
Nimekaa naangalia hawa epic halafu najisemea kama ingekuwa ile ya juzi ni selection contract sidhani kama ningepita na kipa, kiu yangu ilikuwa ni CB na SS wa asili.
Il a wakanipa kitu ambacho kikaupoza moyo kwa kiasi kikubwa 😂
View attachment 3416493
Hilo hata msiwaze nitawaletea majibu siku 🤣🤣🤣🤣Wadau wanadai Kahn mashuti ya mbali ni pazia
Shida kuna vyuma pale kuliko kakaMbona card ya Kaka haisemwi sana Kwani wadau amtaki a player who needs no introduction 😹😹
Na kibaya zaidi selikavu anapiga mashuti balaa😀Hilo hata msiwaze nitawaletea majibu siku 🤣🤣🤣🤣
Chukua Xabi AlonsoNingechukua canavaro sema tayari nina destroyer Rudiger 104
Kaka ni wa 104 huyo wa 102 hamna kazi broMbona card ya Kaka haisemwi sana Kwani wadau amtaki a player who needs no introduction 😹😹
Ndo maana nimewaambia msiwaze nitawaletea majibu😃😃😃Na kibaya zaidi selikavu anapiga mashuti balaa😀
Navyowaambia jichanganyeni hamtaki kunielewa, jana kipindi cha kwanza nilimtoa na nilikuwa nacheza na AI 😂Wadau wanadai Kahn mashuti ya mbali ni pazia
Haya pita na Kahn 😂Ningechukua canavaro sema tayari nina destroyer Rudiger 104
Nilikuwa naomba wasinipe CMF 😂Me mwenyewe nilispine tuu nilivyoletewa Van Basten nikasema walete🤣🤣
Embu angalieni stats za Denilson nyie alivyo na balaa, msimuache aende 😂Chukua Xabi AlonsoView attachment 3416496
Nahisi nachelewa kumchukua aisee 😂Welcome to the club
View attachment 3416512