Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Ehe vpn server ya japanUnatumia Japan mkuu😃😃😃
Ehe vpn server ya japanUnatumia Japan mkuu😃😃😃
Mchukue alafu leo night tucheze, nitamuanzisha Danielson nikuoneshe mapungufu yake 😂😂
Amini kaka 😂Utani wa ngumi huu😀
Skanka 😂Cannavarro wako mtrain CF kaka anafunga mno🤣🤣🤣
VPN gani kakaEhe vpn server ya japan
Na anakabia Juu sana🤣🤣🤣Skanka 😂
Hapo ni speed tu ndo ya kawaida zaidi ya hapo huwezi pita huyo mtu 😂Mchukue alafu leo night tucheze, nitamuanzisha Danielson nikuoneshe mapungufu yake 😂😂
😹😹tatizo uyu nae ni destroyer , nikichukua apo Cb najaza ma destroyer , NESTA na Puyol wana tosha
Huyo namtia instruction ya Defensive anapoa saaaafi 😂Na anakabia Juu sana🤣🤣🤣
Speed anayo ila height sasa😂Hapo ni speed tu ndo ya kawaida zaidi ya hapo huwezi pita huyo mtu 😂
Anakaba mpaka kivuli huyo 😂
Wewe hakufai nenda kamchukue Denilson hapo utakuja kunishukuru 😂😹😹tatizo uyu nae ni destroyer , nikichukua apo Cb najaza ma destroyer , NESTA na Puyol wana tosha
Angalia Jump anayo ngapi, hicho kiumbe kifupi lakini kinajua kutumia ufupi wake vizuri 😂Speed anayo ila height sasa😂
Kazi njema.Ngoja niingie na mimi nikamchukue Khan 🙌🤞
QuarkvpnVPN gani kaka
😹😹😹 binadamu mme kosa utuWewe hakufai nenda kamchukue Denilson hapo utakuja kunishukuru 😂
Watu hawajui kumtumia tu huyo ila mwamba sana😂, Drogba niliyenae mimi kuna watu wanamsema lakini shughuli anayoifanya kwangu ni hatari😹😹😹 binadamu mme kosa utu
DefendingBado booster tuuView attachment 3416589
Oya niangalizie Rice anafika ngapi?Bado booster tuuView attachment 3416589