Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Yule ni mia si wa 96Oya niangalizie Rice anafika ngapi?
Yule ni mia si wa 96Oya niangalizie Rice anafika ngapi?
Amna ShoutdownDefending
😹ume kubali kabisa kubaki na 99 ukaiachia 105Bado booster tuuView attachment 3416589
Kikosi changu kimefika 3154 hatimaye😃
View attachment 3416595
Atleast huyu kaka sio Saka😃😃😃iyo Lb ya camavinga mmh, ni sawa na ile ya Saka 😹😹
Saka pale kwenye defensive hana chochote 🤣🤣🤣iyo Lb ya camavinga mmh, ni sawa na ile ya Saka 😹😹
Courtois wangu anadaka bhana😃😃😃😹ume kubali kabisa kubaki na 99 ukaiachia 105
Mbona hafiki sasa, ngoja nikimchukua nitaona.Yule ni mia si wa 96
Sawa we nenda nayo hiyo.Amna Shoutdown
Pasi watapiga wengine yeye kazi yake ni 1 tu 😂Huyu Cannavaro hana skills ya passing hata moja atamaliza sana skills training zangu
Anafika kaka hakuna card ya Rice ya hivi karibuni inayoishia 99Mbona hafiki sasa, ngoja nikimchukua nitaona.
Ngoja tuone baadae.Anafika kaka hakuna card ya Rice ya hivi karibuni inayoishia 99
Makasiriko ya nini sasa, unaendaje kufanya uchaguzi bila kuangalia playingstyle 😂BABU mikono 1000 kwenye siti ,afu kumbe ni defensive 😡😡View attachment 3416732
View attachment 3416730
😹😹hawa sindio wale striker anaenda kufunga mpira uko mbele ,kipa ana shangaa tu ana msubiria hadi afike badala ya kutokea kuwai mpiraMakasiriko ya nini sasa, unaendaje kufanya uchaguzi bila kuangalia playingstyle 😂
Jifunze kumtoa kipa mkuu 😂😹😹hawa sindio wale striker anaenda kufunga mpira uko mbele ,kipa ana shangaa tu ana msubiria hadi afike badala ya kutokea kuwai mpira