eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

IMG-20250724-WA0027.jpg


Nimekaa naangalia hawa epic halafu najisemea kama ingekuwa ile ya juzi ni selection contract sidhani kama ningepita na kipa, kiu yangu ilikuwa ni CB na SS wa asili.

Ila wakanipa kitu ambacho kikaupoza moyo kwa kiasi kikubwa 😂
IMG-20250721-WA0078.jpg
 
Back
Top Bottom