Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Ppw pwNiinvite
Ppw pwNiinvite
Kazi njema.Ngoja nikakiwashe na Mrussia😃😃
Vipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?Yani huyo haji mkuu labda umuote ndotoni 😂
Yupo vizuri mkuu, jana amefanya save 6 za SelikavuVipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Good game mkuu….Ppw pw
Huyu Khan anadaka aseee😃😃Vipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Aah pole mkuu ungepiga pause ukazimaGood game mkuu….
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Nilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.Aah pole mkuu ungepiga pause ukazima
Sawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...Good game mkuu….
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Labda wametoa😃😃me ishanishinda😃😃Nilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.
Ndio maana kila nisogelea game wanapiga juu wakati Baggio mfupi 😆😆
Hujalala tuu kaka😃😃bomboclaat
Chill mkuuHujalala tuu kaka😃😃
Kahn hatoki golini isipokuwa kwa dharula 😂Niludishie Ludovic basi kaka 😃😃
Siyo nitaulizia ila hii ni sheria lazima ifatwe 😂Sawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...
Kuja kijana atauliza matokeo ngoja nimuwekee kabisa
Razorblade matokeo haya hapa View attachment 3416354
View attachment 3416356
Bado ndio naanza hili game ni gumu balaaPole sana mkuu😃😃
Amna utalizoea tuu...Bado ndio naanza hili game ni gumu balaa