Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,399
Hizi skanka zitakuua mkuu 😂Chukua khan bhana 😃😃
Hizi skanka zitakuua mkuu 😂Chukua khan bhana 😃😃
Jini hilo 😂Tushindane kumfunga🤣🤣
Anaweza asijeJini hilo 😂
Haji 😂Lile jini likija kesho siliachi😃
Basi mchukue Rooney 😂Ukiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na Xabi
Nimemwambia huyo na mbaya zaidi hana nguvu 😂, ukiniwekea huyo na Drogba napita na Dorgba 😂Utamuweka benchi tu 😃Fox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacher
Robert carlos ni best attacking Fullback kwenye gameBinafsi sina left beki mkuu nahitaji nipate nadhan Robert carlos atanifaa??
Pole sana mkuu😃😃Dah mi wa kufungwa 10-0
Pole mkuu.Dah mi wa kufungwa 10-0
Me nawaambia mtamkimbia huyu 😃😃😃Nimemwambia huyo na mbaya zaidi hana nguvu 😂, ukiniwekea huyo na Drogba napita na Dorgba 😂
Asipokuja Kahn sina namna Rooney 😃Basi mchukue Rooney 😂
Huyo hanitishi 😂Me nawaambia mtamkimbia huyu 😃😃😃
Naona pale kuna Lb wawili mmoja wa Barcelona kama atakuwa ni Defensive nitapita naye huyo ila Roberto Carlos atanifaa kwenye LBC yanguRobert carlos ni best attacking Fullback kwenye game
Kahn haji mkuu mbona hutaki kuelewa 😂Asipokuja Kahn sina namna Rooney 😃
Ukiwa free siku twende game tatu 😃😃Huyo hanitishi 😂
Punguza uchawi anaweza asije kweli 😅😅Kahn haji mkuu mbona hutaki kuelewa 😂
Niko training mimi hekaheka sitaki 😂Ukiwa free siku twende game tatu 😃😃
NiinviteMkuu naona haupo online
Yani huyo haji mkuu labda umuote ndotoni 😂Punguza uchawi anaweza asije kweli 😅😅