Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,396
Weka username tufundishane mkuu šNgoja nijifue kwanza nikiiva nitaletaš¤£š¤£
Weka username tufundishane mkuu šNgoja nijifue kwanza nikiiva nitaletaš¤£š¤£
Kwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine šSure kipa wa 105 ni adimu mimi mwenyewe kesho akiwepo naruka nae
Hatutakiš¤£š¤£Kwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine š
Bora uchukue mchezaji utakaemtumia bhana hayo matumizi mabaya ya Selection Contract šIle 105 inapendeza kuiangalia. Ntamchukua akae hata benchi. Najua hawezi kumuweka benchi Diogo Costa. Moto wa Costa unaujua kuna mechi ile nilitoka on target 0 Costa alipangua mashuti yako mengi hadi nikawa nachekaš
Yupo Dominik na Courtois šChukua Khan wa pili huyo waliyekupa anaeza akaumwa siku moja asicheze š¤£š¤£š¤£š¤£
Uwaki huo šHatutakiš¤£š¤£
Chukua khan bhana ššYupo Dominik na Courtois š
Tushindane kumfungaš¤£š¤£Uwaki huo š
Lile jini likija kesho siliachišKwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine š
Ukiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na XabiBora uchukue mchezaji utakaemtumia bhana hayo matumizi mabaya ya Selection Contract š
Van Basten mkuuššmpk sasa ana goli tano za vichwaUkiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na Xabi
Utamuweka benchi tu šFox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacherVan Basten mkuuššmpk sasa ana goli tano za vichwa
š¤£š¤£Kuleta Username ni jambo jingine na kucheza ni jambo jingine ššš
Mtego huu sitauingia kamwe iwe kwa kukusdia au lah - Prof Palamagamba KabudiWeka username tufundishane mkuu š
Me nazikubali sana Fox in the box kuliko Goal pocher na nilikua nahitaji mmojaUtamuweka benchi tu šFox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacher
Ngoja tuone kama watawarudisha keshoMe nazikubali sana Fox in the box kuliko Goal pocher na nilikua nahitaji mmoja
Ikija hivi unaondoka na nani??Ngoja tuone kama watawarudisha kesho
Hapo Fernando Torres au Julio CesarIkija hivi unaondoka na nani??View attachment 3416330
Huyo torres atakuwa mzuri kuliko huyu wa 500 tunayemnunuaHapo Fernando Torres au Julio Cesar
Binafsi sina left beki mkuu nahitaji nipate nadhan Robert carlos atanifaa??Hapo Fernando Torres au Julio Cesar