Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,072
- 33,777
Ujue na bale amepondwa mpaka sasa kila mtu anamuwaza Diego ForlanHamna kazi humo š
Ujue na bale amepondwa mpaka sasa kila mtu anamuwaza Diego ForlanHamna kazi humo š
AmirMaftahLeta username tukuadd mkuu
Saa nne nne tupande
Ngoja nijifue kwanza nikiiva nitaletaš¤£š¤£Karibu sana mkuu
Leta username kabisaš
Kuleta Username ni jambo jingine na kucheza ni jambo jingine šššNgoja nijifue kwanza nikiiva nitaletaš¤£š¤£
Pow nakutumia friend request mida ya saa nne tupande nitaanzia huku kukushtuaAmirMaftah
Sure kipa wa 105 ni adimu mimi mwenyewe kesho akiwepo naruka naeš¹š¹apo sina kufikiria napita na kipa ,hawa wengine ni rahisi kupatikana kuliko makipa
Id yangu ni MyunaniAmirMaftah
Amin mkuuPow nakutumia friend request mida ya saa nne tupande nitaanzia huku kukushtua
šššKwahiyo Cassilas humtaki tena mkuu ššSure kipa wa 105 ni adimu mimi mwenyewe kesho akiwepo naruka nae
Sawa nikiona request tu nimooId yangu ni Myunani
Alafu mbona wewe ni Fan wa offensive Gk mkuu ššSure kipa wa 105 ni adimu mimi mwenyewe kesho akiwepo naruka nae
Pow powSawa nikiona request tu nimoo
Casillas hawezi kudaka mashuti ya karibu ni paziaššššKwahiyo Cassilas humtaki tena mkuu šš
Ile 105 inapendeza kuiangalia. Ntamchukua akae hata benchi. Najua hawezi kumuweka benchi Diogo Costa. Moto wa Costa unaujua kuna mechi ile nilitoka on target 0 Costa alipangua mashuti yako mengi hadi nikawa nachekašAlafu mbona wewe ni Fan wa offensive Gk mkuu šš
Yule wa 105 mbona huwa ananisumbua sanaCasillas hawezi kudaka mashuti ya karibu ni paziaš
š¤£š¤£š¤£š¤£ Ilibid niende kuhakikisha ni yeye kwel au SchmichelIle 105 inapendeza kuiangalia. Ntamchukua akae hata benchi. Najua hawezi kumuweka benchi Diogo Costa. Moto wa Costa unaujua kuna mechi ile nilitoka on target 0 Costa alipangua mashuti yako mengi hadi nikawa nachekaš
Mkuu naona haupo onlineSawa nikiona request tu nimoo
Asipokuja Cannavaro naondoka na Puyol, Bale nishamkataa.Ujue na bale amepondwa mpaka sada kila mtu anamuwaza Diego Forlan
Chukua Khan wa pili huyo waliyekupa anaeza akaumwa siku moja asicheze š¤£š¤£š¤£š¤£Asipokuja Cannavaro naondoka na Puyol, Bale nishamkataa.
Natuma yangu hapo utaiona, timu Santos username utaona hukohuko.AmirMaftah