๐น๐นninae uyu jamaa kwenye kikosi cha japan mwamba anani sikitisha sana uku .Mniache na Danielson wangu, winga teleza ๐๐
๐๐๐Kijana kwan hana kila kitu ama๐น๐นninae uyu jamaa kwenye kikosi cha japan mwamba anani sikitisha sana uku .
Amwagi moto kwenye mfumo wangu, ana fia apo kwenye physical contact mayai sana ๐น๐๐๐Kijana kwan hana kila kitu ama
Editing ๐ au my league?Kutana na Guardiola wa 102View attachment 3416111
Kwenye Account yangu angalia mkuuEditing ๐ au my league?
Speed 93 acceleration 95 mtafutien CF huyo๐๐mtakubaliAmwagi moto kwenye mfumo wangu, ana fia apo kwenye physical contact mayai sana ๐นView attachment 3416115View attachment 3416116View attachment 3416117
Mjaribu hata na AI bhana usimtenge kiasi hicho ๐Mpuuzi yule kila mtu anamponda, nani amchezeshe sasa
Me akiwepo na Cannavarro nitaanza na Cannavarro kwanza japo sina kipa ๐๐Kipa mikono 1000 atakuepo kesho
๐น๐นapo sina kufikiria napita na kipa ,hawa wengine ni rahisi kupatikana kuliko makipaMe akiwepo na Cannavarro nitaanza na Cannavarro kwanza japo sina kipa ๐๐
Yani stats nzuri ila kazi 0 ๐Amwagi moto kwenye mfumo wangu, ana fia apo kwenye physical contact mayai sana ๐นView attachment 3416115View attachment 3416116View attachment 3416117
Hamna kazi humo ๐Speed 93 acceleration 95 mtafutien CF huyo๐๐mtakubali
Daah sawaa mkuu tutaona kesho๐น๐นapo sina kufikiria napita na kipa ,hawa wengine ni rahisi kupatikana kuliko makipa
Kurudi huyo ni bahati, ngoja tusubiri.Me akiwepo na Cannavarro nitaanza na Cannavarro kwanza japo sina kipa ๐๐
Karibu mkuu.Niweke kambi hapa