eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Umepata epic yoyote hadi sasa?
Hapana kaka nipo tu na standard players wangu😃😃😃

Nilikuwa na jamaa yangu mmoja hivi naye alikuwa hajapata nikawa najipa matumain... Mwenzangu jana wamempa Ronaldinho 😃😃😃na alikuwa na Kaka wa 104 na pia alipata Thuram wa inter mwenye Bullet header kile kipind cha free moja😃😃😃
 
Konami wanajua kukera aisee, mie nikikumbuka ile account niliyokuwa naikuza imepata Jude halafu kwangu nikaletewa goroka 😂

Sasahivi nimerudi kutumia AMF Jude angenifaa sana yani 😂

Acha tuendelee kuburudika a standard cards, tumelipenda wenyewe 😂
 
Ila DLS nikicheza kwenye simu ya jamaa yangu napata tabu sana, nimesahau kulicheza kiasi cha kusema sijui kulicheza 😂

Hata pasi 5 kwangu kufikisha ni kasheshe 😂
 
Konami wanajua kukera aisee, mie nikikumbuka ile account niliyokuwa naikuza imepata Jude halafu kwangu nikaletewa goroka 😂

Sasahivi nimerudi kutumia AMF Jude angenifaa sana yani 😂

Acha tuendelee kuburudika a standard cards, tumelipenda wenyewe 😂
😃😃😃Me watajua wenyewe kikubwa nijue game😃😃kikosi hakitomata kama nikiwa najua game
 
Konami till nashukuru kwa utapeli wenu🤣🤣🤣
GrFuEBxXEAAKr6q.jpeg

Screenshot_20250720-061429.png

Screenshot_20250720-055720.png

Sipigi tena penalty nipumzike sasa siku kumi wongo
 
Konami till nashukuru kwa utapeli wenu🤣🤣🤣
View attachment 3411745

View attachment 3411746

View attachment 3411747
Sipigi tena penalty nipumzike sasa siku kumi wongo
MZEE, SAIDI NI MGANGA, WA JADI, ANASAIDIA, UTAJIRI WA COINS, BAHATI WAKATI WA SPIN, BIASHARA, MASOMO CHEO, KAZINI KUMRUDISHA, MKE AU MUME PIGA 062483... ATAKUSAIDIA

KARIBU 666 FREEMASONRY UBADILISHE MAISHA YAKO MILIKI MALI KAMA COINS ZA KONAMI, BAHATI YA SPIN, MAJUMBA MAGARI NAMENGINE MENGI KUJIUNGA PG.0629...938/06...06764

Uache kupuuza hizo text, hilo gundu litaondoka 😂
 
Umemaliza Kila kitu😂🙌
 
🤣🤣🤣Ana lipa namba ya TTCL nimtumie hela anisaidie saiv😃😃
 
Back
Top Bottom