Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,210
- 10,497
Kwamba ndo mie nitakuwa nimeambulia Beckham na Adams peke yake, namtaka Kante na huyo LMF(Cross specialist) ila kwa hizo siku zilizobaki hapo itakuwa uongo.Zimebaki siku 11 expire date ifike
Kwamba ndo mie nitakuwa nimeambulia Beckham na Adams peke yake, namtaka Kante na huyo LMF(Cross specialist) ila kwa hizo siku zilizobaki hapo itakuwa uongo.Zimebaki siku 11 expire date ifike
🥺🥺🥺Wanipe Serginho kesho jaman🥺🥺🥺kante ndo nimeshamkosa🥺🥺🥺Zimebaki siku 11 expire date ifike
Hawakupo, utaoata hizo card za akina Carvajal 😂🥺🥺🥺Wanipe Serginho kesho jaman🥺🥺🥺kante ndo nimeshamkosa🥺🥺🥺
Kaka tunabahati mbaya kila sehemu🥺Kwamba ndo mie nitakuwa nimeambulia Beckham na Adams peke yake, namtaka Kante na huyo LMF(Cross specialist) ila kwa hizo siku zilizobaki hapo itakuwa uongo.
Carvajal washanipa nadhan nimebakiza Alvarez, Cole Palmer, Salaha, Kante, Baia na Serginho 🥺🥺🥺Hawakupo, utaoata hizo card za akina Carvajal 😂
Ndiyomaana mie nikiona Selection contract naifurahia maana najua account yangu haina bahati 😂Kaka tunabahati mbaya kila sehemu🥺
Mie Carvajal wamenipa wiki hii na nishamfukuza 😂Carvajal wadhanipa nadhan nimebakiza Alvarez, Cole Palmer, Salaha, Kante, Baia na Serginho 🥺🥺🥺
Tuendelee kujifukiza kaka...Ndiyomaana mie nikiona Selection contract naifurahia maana najua account yangu haina bahati 😂
Ungemwacha acheze hata spanish eventsMie Carvajal wamenipa wiki hii na nishamfukuza 😂
Acha ninyamaze 😂Tuendelee kujifukiza kaka...
Ila nasikia ijayo anakuja Rumminnegga 😃😃😃
Hizo ni hasira za kukosa epic, card yeyote tofauti na epic pale haina nafasi zaidi kula panga tu.Ungemwacha acheze hata spanish events
Tungojee siku 11 sio mbali😃😃Acha ninyamaze 😂
Sasa mzee wa watu atakula wap😃😃😃Hizo ni hasira za kukosa epic, card yeyote tofauti na epic pale haina nafasi zaidi kula panga tu.
Simu gani?Biggest Scam in the World
How comes system imekula Gb 98 peke yake🤣🤣🤣
Bora ningebaki na Nokia Yangu
View attachment 3410989
Huenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa 😂Tungojee siku 11 sio mbali😃😃
Labda waongeze muda kidogo lakini. Baada ya siku 11 season mpya inaanza nadhani itakuwa Efootball 2026.Huenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa 😂
Update ya msimu mpya wamesema ni mwezi wa 8 katikati.Labda waongeze muda kidogo lakini. Baada ya siku 11 season mpya inaanza nadhani itakuwa Efootball 2026.
Infinix Smart 8😃😃nilinunua mahususi kwa hili gameSimu gani?
Wafanye hivyoHuenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa 😂