Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Ngoja nije twende Room ishaisha hiiSiangalii mkuu, acha wafe tu walitudhalilisha 😂
Ngoja nije twende Room ishaisha hiiSiangalii mkuu, acha wafe tu walitudhalilisha 😂
Ngoja nije twende Room ishaisha hii
Aina noma kakaView attachment 3405022
Wakati tuko uwanjani ilibaki 2% wachezaji wakawa hawatembei ikabidi niboost charge ili tumalize.
Aina noma kaka
Coin me nitanunua tuu 😃😃😃View attachment 3405082
Embu angalia upande wa coins kwanza, nimedhamiria pack mpya zitakazokuja baada ya kuondoka Messi na Neymar zikiwa nzuri nipite nazo zote 😂
Sio Szobo tu, ile acc naipenda tu ina wachezaji wengi kila position nachagua tu nnavotaka 😂Sababu ya Blitz Curler au
Nimefikisha 1350, ikifika usiku nitakuwa nimefikisha 1360 😂Coin me nitanunua tuu 😃😃😃
Sawaa kakaSio Szobo tu, ile acc naipenda tu ina wachezaji wengi kila position nachagua tu nnavotaka 😂
Unakijuta Target Man sioNimefikisha 1350, ikifika usiku nitakuwa nimefikisha 1360 😂
Umeupiga mwingi sana mkuu, wachezaji wa kule wengi huwa siwazingagii ndiyomaana huwa siendi kuangalia mara kwa mara.Unakijuta Target Man sio
Aya kamchukue Camavinga pale anafika 100 kwenye Epoints
Kwahiyo Sablozai hukumchukua😃😃😃Umeupiga mwingi sana mkuu, wachezaji wa kule wengi huwa siwazingagii ndiyomaana huwa siendi kuangalia mara kwa mara.
View attachment 3405383
Sijamchukua.Kwahiyo Sablozai hukumchukua😃😃😃
Amrabat mkuu anakaba mno😃😃😃 defensive awareness 98Wajuu nisaidieni hapa yupi aanze na yupi awe mbadala kati ya Camavinga na Amrabat, mapenzi yangu yanaangukia kwa Camavinga ila nahitaji ushauri tactically.
Amrabat stats(B2B)
View attachment 3405395
View attachment 3405397
View attachment 3405453
View attachment 3405398
View attachment 3405402
View attachment 3405406
Camavinga stats(B2B)
View attachment 3405431
View attachment 3405433
View attachment 3405435
View attachment 3405438
View attachment 3405447
View attachment 3405478
Benchi la ufundi njoeni mtoe mawazo yenu kisha kocha mkuu nitayapitia na kufanya uamuzi 😂
NB: Naona Camavinga ana stats nzuri kwa ujumla tofauti na Amrabat ambaye yupo vizuri zaidi kwenye defence, nasubiri maoni yenu.
Uliacha card nzuri sana nitakuwa nakusanua sasaSijamchukua.
Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana 😂Amrabat mkuu anakaba mno😃😃😃 defensive awareness 98
Nilichokuwa nataka kukifanya kimethibitishwa na ChatGpt.Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana 😂
Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla 😂
😃😃😃Wakabaji kwako ni wangapi😃😃😃Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana 😂
Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla 😂
Kwani kikosi unaona kina DMF wangapi nawe 😂😃😃😃Wakabaji kwako ni wangapi😃😃😃