Amna LBC ni kazi mno🤣🤣🤣bora possession gameHiyo sasahivi inaninyookea kabisa, nikizidiwa ni mwendo wa kuswitch playstyle tu ndo raha ya kocha wa booster 1 😂
Ukiwa na double booster kocha anafika hasa wale wanaongeza attackKuna watu Batigoal kafika 105 sijui wamefanyaje aisee.
Formation yoyote inakubali ila jinsi ku defend na ku attack ndio inatofautiana.Nipen Formation kwanza nzuri... Najua wote mnafahamu team yangu nipen suggestions ya formation kwanza
NEGAN ulione hili na wewe
Kwenye kushambulia mkuu inakuwaje kukaba sio shida sanaFormation yoyote inakubali ila jinsi ku defend na ku attack ndio inatofautiana.
Kwenye quick counter uta press kwa sana kichukua mali.
Kwenye LBC utakaba njia za pass ukiwa deep ukisubiri kufanya Interception.
Kushambulia inatakiwa umiliki mpira zaidi ili uweze kutengeneza nafasi clear za magoli.Kwenye kushambulia mkuu inakuwaje kukaba sio shida sana
Mkuu kwel me unaniona wa kumiiliki mali😃😃😃Kushambulia inatakiwa umiliki mpira zaidi ili uweze kutengeneza nafasi clear za magoli.
Ukifanya mashambulizi ya haraka utajikuta una namba ndogo ya wamaliziaji mbele.
Basi ongeza idadi ya pasi zifike hata 5😀 kabla ya kumfikia Owen😀Mkuu kwel me unaniona wa kumiiliki mali😃😃😃
Vile ulivyomlemavu wa kupiga pasi halafu unasema bora possession kuliko LBC 😂Amna LBC ni kazi mno🤣🤣🤣bora possession game
Kuna wengine wanamtumia Alonso na amefika 105Ukiwa na double booster kocha anafika hasa wale wanaongeza attack
Tafuta basi hizo setting zakeKuna wengine wanamtumia Alonso na amefika 105
Naona Ai ndo wananisumbua ila PVp au friend naona natumia vzr tuuBasi ongeza idadi ya pasi zifike hata 5😀 kabla ya kumfikia Owen😀
😃😃😃 Nishakuambia kaka kocha ni wa possession game ila anachezeshwa mpira wa Quick counter 🤣🤣Vile ulivyomlemavu wa kupiga pasi halafu unasema bora possession kuliko LBC 😂
Nishajaribu sijafanikiwa.Tafuta basi hizo setting zake
Mbele mbele yao 😂😃😃😃 Nishakuambia kaka kocha ni wa possession game ila anachezeshwa mpira wa Quick counter 🤣🤣
Ukimpata mtu anaye wa 105 mwombeNishajaribu sijafanikiwa.
Mbangula tena🤣🤣🤣View attachment 3401026
Ifikie hatua Konami waniheshimu, hii ni dharau iliyokithiri 😂
Kikubwa nimeshinda tena hii LBC naona kama ina kituMbele mbele yao 😂