Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Sio pow me coin zangu nimemchukua Martinez anatoshaNaona mnajikausha tu nendeni mkaliwe coins+pesa na Pele huko, mchezaji pekee mwenye play skills 2 😂
View attachment 3400091
Sio pow me coin zangu nimemchukua Martinez anatoshaNaona mnajikausha tu nendeni mkaliwe coins+pesa na Pele huko, mchezaji pekee mwenye play skills 2 😂
View attachment 3400091
Hujataka hata kujaribu mkuu 😂Sio pow me coin zangu nimemchukua Martinez anatosha
Sio mbaya mtaalam kuliko kukosa kabisaView attachment 3400182dadeki😹😹nme ambulia beckham tu
Walau umepata mkuu.View attachment 3400138
Konami wamenipa huyu jamaa lakini hana nafasi mbele ya Osihmen
Aliyekula kala mkuu.View attachment 3400182dadeki😹😹nme ambulia beckham tu
Ushajua kumtumia Osimhen 😃😃View attachment 3400138
Konami wamenipa huyu jamaa lakini hana nafasi mbele ya Osihmen
Konami wataacha utapel lini??View attachment 3400182dadeki😹😹nme ambulia beckham tu
Sijafanya update bado, nitajaribu kutumia VPN leo 😂Ngoma imewaka kabisa wanakuja kunipa kitu hakieleweki
Huyu mtu kaka hongera😃😃✊Account one nikapewaView attachment 3400275
Mwamba kabisaHuyu mtu kaka hongera😃😃✊