Offline auJa
Jaribu efootball mkuu
Hayo yanakula Sana mb na chajiOnline.
Naona ushakuwa xabi😂Nimebadrisha mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-1-2(Old Meta).
4-2-3-1, huu mfumo uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa LBC na OW, changamoto niliyokuwa naipata ni striker kutembea eneo kubwa peke yake na kupelekea kutokuwa kwenye eneo husika kwa wakati, ukikutana na mtu anaetumia back 5 unaweza lia.
4-3-1-2(Old Meta), huu mfumo pia uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa QC na PSSN unaweza tumia LBC pia, inakuhitaji kuwa na viungo imara na wepesi maana huu mfumo unahitaji kutawala eneo la kati ili kutengeneza nafasi, changamoto inakuja pale ambapo utakutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kutumia nafasi za pembeni zilizoachwa na viungo wakati unashambulia.
Kwa sasa 4-3-1-2 ndo mfumo ambao naufanyia mazoezi, natunza coins kwaajili ya Xabi Alonso mwenye mfumo wake wakati huo namvizia Kante wa free 😂.
Yani hili game linaweza kukufanya ukahisi tayari umekuwa kocha bado kupata leseni na timu tu 😂.
Kabisa mkuu, jana nilikuwa nahangaika kutoka dvs 5 na mfumo wangu wa 4-2-3-1 kwenye mechi 6 nilishinda 1 na sare 1 ndipo nikasema ngoja nijaribu kutumia striker wawili nikachagua 4-3-1-2, niliwashenyenta hadi ikabidi niende google kwanza kuupekua huu mfumo 😂Naona ushakuwa xabi😂
Hakuna formation inayonitesa kui defend kama hiyo 4312 😀 naichukia😀Nimebadrisha mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-1-2(Old Meta).
4-2-3-1, huu mfumo uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa LBC na OW, changamoto niliyokuwa naipata ni striker kutembea eneo kubwa peke yake na kupelekea kutokuwa kwenye eneo husika kwa wakati, ukikutana na mtu anaetumia back 5 unaweza lia.
4-3-1-2(Old Meta), huu mfumo pia uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa QC na PSSN unaweza tumia LBC pia, inakuhitaji kuwa na viungo imara na wepesi maana huu mfumo unahitaji kutawala eneo la kati ili kutengeneza nafasi, changamoto inakuja pale ambapo utakutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kutumia nafasi za pembeni zilizoachwa na viungo wakati unashambulia.
Kwa sasa 4-3-1-2 ndo mfumo ambao naufanyia mazoezi, natunza coins kwaajili ya Xabi Alonso mwenye mfumo wake wakati huo namvizia Kante wa free 😂.
Yani hili game linaweza kukufanya ukahisi tayari umekuwa kocha bado kupata leseni na timu tu 😂.
Ndo naifanyia mazoezi sasa ikikaa sawa nitakuwa naburudika tu, raha ya huu mfumo ukimkaba CF unamkuta SS yuko huru wakati huo viungo wa juu umeweka creative playmaker, umeweka hole player na mwingine orchestrator hapo DM umeweka box to box, mkuu najiona kama Alonso yani 😂Hakuna formation inayonitesa kui defend kama hiyo 4312 😀 naichukia😀
Mkuu unafika ulvision 3 lini? Naona umestuck division 4 shida nini?
Me mwenyewe nimelud 4-3-1-2 sema nakosa Attacking midfield kama kDb na KakaNimebadrisha mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-1-2(Old Meta).
4-2-3-1, huu mfumo uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa LBC na OW, changamoto niliyokuwa naipata ni striker kutembea eneo kubwa peke yake na kupelekea kutokuwa kwenye eneo husika kwa wakati, ukikutana na mtu anaetumia back 5 unaweza lia.
4-3-1-2(Old Meta), huu mfumo pia uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa QC na PSSN unaweza tumia LBC pia, inakuhitaji kuwa na viungo imara na wepesi maana huu mfumo unahitaji kutawala eneo la kati ili kutengeneza nafasi, changamoto inakuja pale ambapo utakutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kutumia nafasi za pembeni zilizoachwa na viungo wakati unashambulia.
Kwa sasa 4-3-1-2 ndo mfumo ambao naufanyia mazoezi, natunza coins kwaajili ya Xabi Alonso mwenye mfumo wake wakati huo namvizia Kante wa free 😂.
Yani hili game linaweza kukufanya ukahisi tayari umekuwa kocha bado kupata leseni na timu tu 😂.
Karibu div 3 mkuu binafsi nilifika week iliyopita nina week moja mpk sasa... Hali ni kama unavyoiona nimekula vipigo mnoBaada ya kuona kikosi cha huyu jamaa na collective strength yake nikasema hawa konami mbona wananionea sana, hapo tayari nishacheza mechi 8 na alama zangu 12 😂.
View attachment 3295452
Basi bila kupoteza muda nikaingiza timu uwanjani na kauli mbiu ikawa HII TUNAVUKA, bhana weeeh kilichotokea ndani ya dakika 30 nikapachika goli na kufanya ubao usomeke 0-1 mpaka mapumziko, wakati wa mapumziko sasa nikasema hapa inabidi nifanye UBAYA UBWELA, kipindi cha pili nikarudi uwanjani na back 5 yaani 5-2-1-2 lengo likiwa ni kulinda goli na kumshambulia kwa mipira mirefu ya kushitukiza 😂.
View attachment 3295453
Mechi haikuwa rahisi mpinzani alikuwa bora sana lakini nilikomaa kuhakikisha NAVUKA na kwenda dvn 3, hatimae kipyenga cha mwisho kikapulizwa kuashiria kukamilika kwa dakika 90' na kufanikiwa kuibuka na ushindi, baada ya mechi kuisha niliweka simu chini nikahema kwa nguvu na kuvipongeza vidole vyangu kwa kazi nzuri 😂.
View attachment 3295457
Nawasilisha, Tukaze vidole 😂.
Hongera mkuuBaada ya kuona kikosi cha huyu jamaa na collective strength yake nikasema hawa konami mbona wananionea sana, hapo tayari nishacheza mechi 8 na alama zangu 12 😂.
View attachment 3295452
Basi bila kupoteza muda nikaingiza timu uwanjani na kauli mbiu ikawa HII TUNAVUKA, bhana weeeh kilichotokea ndani ya dakika 30 nikapachika goli na kufanya ubao usomeke 0-1 mpaka mapumziko, wakati wa mapumziko sasa nikasema hapa inabidi nifanye UBAYA UBWELA, kipindi cha pili nikarudi uwanjani na back 5 yaani 5-2-1-2 lengo likiwa ni kulinda goli na kumshambulia kwa mipira mirefu ya kushitukiza 😂.
View attachment 3295453
Mechi haikuwa rahisi mpinzani alikuwa bora sana lakini nilikomaa kuhakikisha NAVUKA na kwenda dvn 3, hatimae kipyenga cha mwisho kikapulizwa kuashiria kukamilika kwa dakika 90' na kufanikiwa kuibuka na ushindi, baada ya mechi kuisha niliweka simu chini nikahema kwa nguvu na kuvipongeza vidole vyangu kwa kazi nzuri 😂.
View attachment 3295457
Nawasilisha, Tukaze vidole 😂.
Hakuma game hapa. Jaribu efootbal
Mtumie messi au frank libery.Me mwenyewe nimelud 4-3-1-2 sema nakosa Attacking midfield kama kDb na Kaka
Ahsante mkuu, kwa leo napumzika kwanza kucheza dvn, nitacheza events tu kuzoea mfumo mpya.Karibu div 3 mkuu binafsi nilifika week iliyopita nina week moja mpk sasa... Hali ni kama unavyoiona nimekula vipigo mnoView attachment 3295478
Ahsante mkuu, hii reply yako ilinipa moto sana na kufanya nianze jiuliza hayo maswali 😂.Hongera mkuu
Mkuu unafika ulvision 3 lini? Naona umestuck division 4 shida nini?
Kuja uone vijana wanavo turnAseee🤣