Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Superstar tu kuna muda nawakimbia hao newcastleUmachaguaje legend mkuu😂
Superstar tu kuna muda nawakimbia hao newcastleUmachaguaje legend mkuu😂
Mkuu huko dvn nilikutana na mtu anateleza tu nahisi wachezaji wake wote wana one touch pass, kipindi cha kwanza nikala 4 kwa 1 kipindi cha pili ikabidi nikae kwa kutulia ila match ikaisha nimekula 5 kwa 1 😂View attachment 3290598
Kuna kufungwa ile unasema nimefungwa ila nimepiga kazi ila fungwa yangu ni majanga😂😂😂
Kwanza nilizoea smart assist nimekuja huku no smart assist nimepata shida mno kufunga
Kuna game nimetoka sina hata shot ata moja😀😀😀
Sasahivi naburudika sana nikicheza superstar naendelea kukaza vidole mpaka niweze kuwamudu vizuri legend, katika mechi 5 za superstar naweza shinda 3 na kupoteza 1 na sare 1 na katika mechi 5 za legend naweza kupoteza 2 na kushinda 2 na kutoa sare 1.Superstar tu kuna muda nawakimbia hao newcastle
Nimekaza mno😀😀Tukaze vidole
Yan naona bora niende kucheza PUBG tuu 😂Mkuu huko dvn nilikutana na mtu anateleza tu nahisi wachezaji wake wote wana one touch pass, kipindi cha kwanza nikala 4 kwa 1 kipindi cha pili ikabidi nikae kwa kutulia ila match ikaisha nimekula 5 kwa 1 😂
Nakaza mno 😂Kaza vidole mkuu 😂
Mkuu hivi PUGB halitumii MB nyingi kucheza?Yan naona bora niende kucheza PUBG tuu 😂
Hiyo ji sung Park umemtoa wapi?View attachment 3291140
Kwa hapa amebaki kocha tu.
Ivi kuna sida gani huyunkipa mara afike 100 mda mwingine kama hivo.
Nlivokuwa nafungua account, kwenye country nilichagua korea unampata wakorea wa 2 uliowaona hapo.Hiyo ji sung Park umemtoa wapi?
Kuhusu kipa ni form ya booster yake akiwa na A form stats zinaongezeka +3 , B +2, akiwa na C +1 , akiwa na D ni zero ndio kama hapo Donnaruma ana form ya D
Unajuaje? Maana mwanzo alikiwa na 101 now ndo hivo tenaHiyo ji sung Park umemtoa wapi?
Kuhusu kipa ni form ya booster yake akiwa na A form stats zinaongezeka +3 , B +2, akiwa na C +1 , akiwa na D ni zero ndio kama hapo Donnaruma ana form ya D
Weekend nikupige match
Ipo hivi wachezaji ambao si epic kila week kunakua na form update ambayo inaangalia kwenye ligi zaoUnajuaje? Maana mwanzo alikiwa na 101 now ndo hivo tena
Ni kawaida kabisa hata sio nyingiMkuu hivi PUGB halitumii MB nyingi kucheza?
Live booster hizoView attachment 3291140
Kwa hapa amebaki kocha tu.
Ivi kuna sida gani huyunkipa mara afike 100 mda mwingine kama hivo.
Mkuu shukrani, unaeleza vizuri hadi unakela😂🙌🏿Ipo hivi wachezaji ambao si epic kila week kunakua na form update ambayo inaangalia kwenye ligi zao
Kama mchezaji amekiwasha basi week inayofuata kwenye game wanampa A au B form akizingua wanampa na C au D.
Akiwa na booster maana yake booster linakua activated mchezaji akiwa na A linaboost stats kwa point 3, akiwa na B form inaboost stat kwa point 1 na akiwa na C inaboost point 0.
Sasa Donnaruma wakati kadi inatoka alikua amekiwasha UEFA akawa na A form hivyo sababu ana booster akawa 101. Ila hizi week hapakuwa na mechi za league na hakuafanya vizuri kimataifa hivyo ana D form booster haijawa activated ndio maana ana 98.
Ndio maana sipendagi players of the week wenye booster ili umfaidi inatakiwa aee na A au B form
Form unaangalia kwenye game plan kwenye alama ya mtu kulia chini
View attachment 3291229View attachment 3291228