Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Hii talent mbona inataka kuwa kama Neymar
Hii talent mbona inataka kuwa kama Neymar
Kwa hiyo mmeona muweke lowest[Prioritize Playability] graphics. Ili mtuchafulie game letu pendwa😬
Kikubwa umefungwa🤣🤣Kwa hiyo mmeona muweke lowest[Prioritize Playability] graphics. Ili mtuchafulie game letu pendwa😬
Atakaa Vini tu hamna namna.Alaf anakaa nnje miez 4-5
Rais kafanya nini mbona kala bann?I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Mkuu kuna kipindi Mbappe aliumia, mshale ukasoma nyekundu.Amna atapewa C kama Rodri tuu kipind chote cha Injury alikuwa na C
Mkuu mie ngoja nisubiri tu kwangu Mbappe aliwahi soma E kipindi kaumia.Amna ataludishiwa C utaona kaka alafu sio jumatatu ni Alhamic baada ya Update
Dona kazingua sana.Hii talent mbona inataka kuwa kama Neymar
Una Card ya Vini??Atakaa Vini tu hamna namna.
Ndo nimeingia hapa sikuona ngoja nimchek😃😃😃Rais kafanya nini mbona kala bann?
Ngoja tungojee mpaka Alhamic ndo wataleta forms zaoMkuu mie ngoja nisubiri tu kwangu Mbappe aliwahi soma E kipindi kaumia.
Ile comment yake pendwa😃Rais kafanya nini mbona kala bann?
Ana spam😀Rais kafanya nini mbona kala bann?
Ninayo ya Standard Card.Una Card ya Vini??
Ile comment sijui alifikiria nini aisee 😂Ile comment yake pendwa😃
Sijui watakuwa wamempiga ya muda gani 😂Ana spam😀
Chuo ujinga mwingi anayepata sup kusapua anajiona mwamba kuliko aliyefaulu UE😀Sijui watakuwa wamempiga ya muda gani 😂
Hii inafanya nikumbuke maisha ya chuo na msemo pendwa “Sup ni ujanja, bila sup hujasoma chuo” 😂
Rudi kucheza na AmF sasa 😃Ninayo ya Standard Card.
Hiyo nakumbuka kwenye mtihani wa commercial arithmetic wenzangu wameingia na Scientific Calculator mie nikaamini natoboa kwa kichwa 😂Chuo ujinga mwingi anayepata sup kusapua anajiona mwamba kuliko aliyefaulu UE😀
Akili za Bill anaizijua mwenyeweIle comment sijui alifikiria nini aisee 😂