Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Ukikutana na hao inabidi utulie kweli bila hivyo yanakukuta ya zaidi ya Brazil kwa German 😂Mpaka unaogopa
Ukikutana na hao inabidi utulie kweli bila hivyo yanakukuta ya zaidi ya Brazil kwa German 😂Mpaka unaogopa
Ngoja nikague zangu.Zinafika 20 kama sijakosea
Saivi mimi siogopi kitu njoo na kikosi yako tuuUkikutana na hao inabidi utulie kweli bila hivyo yanakukuta ya zaidi ya Brazil kwa German 😂
Ppw powNgoja nikague zangu.
Uyo mess ana teleza bhana ,View attachment 3395066View attachment 3395062View attachment 3395060
Unajua ukiwa na team kubwa unaamini hautakiwi kufungwa,
Jamaa baada ya kufungwa hakaamua asusie match na me nikaamu nisusie kucheza
Konami wakaona isiwe shida😅
Huko hajaumia?😀😀Razorblade Musiala wako ana physical contact ngapi kaka
Hatakuwa kama Rodri tangu aumie sijawahi kuona japo yupo kwenye form BHuko hajaumia?😀😀
Kuanzia J3 hapo atakuwa na mshale wa red 😭Huko hajaumia?😀😀
Naona card ya Rodri haina kipengele.Hatakuwa kama Rodri tangu aumie sijawahi kuona japo yupo kwenye form B
Alaf anakaa nnje miez 4-5Kuanzia J3 hapo atakuwa na mshale wa red 😭
Kuanzia J3 hapo atakuwa na mshale wa red 😭
Naona umepania kuandika🤠🤠I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Amna atapewa C kama Rodri tuu kipind chote cha Injury alikuwa na CDah tayari mchezaji wangu mmoja(Musiala) atakuwa nje ya kikosi kuanzia J3 😭
Goat kama GoatUyo mess ana teleza bhana ,
Huku ataendelea kuwepoHuko hajaumia?😀😀
Ni mwendo wa C tuuHatakuwa kama Rodri tangu aumie sijawahi kuona japo yupo kwenye form B
Amna ataludishiwa C utaona kaka alafu sio jumatatu ni Alhamic baada ya UpdateKuanzia J3 hapo atakuwa na mshale wa red 😭