Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sawa RaisKuwa direct kijana, hiyo kiongozi naweza onekana ni mjumbe wa Baraza la wachawi
Sawa RaisKuwa direct kijana, hiyo kiongozi naweza onekana ni mjumbe wa Baraza la wachawi
Sitokukamia ila nitapiga mpira mwepesi wenye maudhi 😂Unataka unikamie sio😃😃
View attachment 3334461
Anhaa hapo nimekupata.Inakusaidia kuchagua mfumo bila kuharibu kikosi..
Yan unapanga kabisa kikosi siku ukitaka kushift unabonyeza tuu
Maintanance imeisha?Huyu mwenyewe sana 😃
Naona walioweka server za japan kwao tayali...
Wamewaleta Bayern asee namtaka musiala na Upamaguire..
Pia kwenye nominating character wameleta mabeki
Kumbuka nitakuwa na phenomenal finishing...Sitokukamia ila nitapiga mpira mwepesi wenye maudhi 😂
Niliona na hiyo ndiyo moja ya tofauti kubwa kwetu, sipendi kupiga nikiwa nje ya box 😂Kumbuka nitakuwa na phenomenal finishing...
Kuna goli nilikupiga jana la Bruno Fernandes unalikumbuka niliacha uone lilivyoingia😃😃😃😃
Kuna watu wana server za japan tayaliMaintanance imeisha?
😃😃😃Eeh wee endelea na mpira mzuri 😃😃😃Niliona na hiyo ndiyo moja ya tofauti kubwa kwetu, sipendi kupiga nikiwa nje ya box 😂
Tuendelee kusubiri.Kuna watu wana server za japan tayaliView attachment 3334467
Nataka kuburudika bhana, kuna watu unakutana nao mpira wao umetulia na unafungwa lakini unakuwa umeburudika.😃😃😃Eeh wee endelea na mpira mzuri 😃😃😃
Hujui raha ya kufunga magoli ya vile😃😃Nataka kuburudika bhana, kuna watu unakutana nao mpira wao umetulia na unafungwa lakini unakuwa umeburudika.
Goli la vile ndo limenipeleka dvn 2 baada ya mpinzani kuwa mgumu mpaka dakika ya 80, lakini nafurahia nikifunga nikiwa ndani ya box.Hujui raha ya kufunga magoli ya vile😃😃
Na msiombe nimaster Ile power shoot😃😃😃mtakubalGoli la vile ndo limenipeleka dvn 2 baada ya mpinzani kuwa mgumu mpaka dakika ya 80, lakini nafurahia nikifunga nikiwa ndani ya box.
Toa uchawi dogoAka Aikaeli Intelligent Businessman
Next time chief🙌
Hawa konami wanajua kutukera 😂
68Razorblade Musiala wako ana physical contact ngapi kaka