eFootball Special Thread

Konami baada ya kunipa Striker la Dunia kwa akina Lamal pale View attachment 3392563
Wakaona wanibless ViniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒView attachment 3392562
Complete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.

Player skills
-Heading
-One touch pass
-Acrobatic
-Visionary pass

In short he's the best in all aspects.
 
Complete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.

Player skills
-Heading
-One touch pass
-Acrobatic
-Visionary pass

In short he's the best in all aspects.
Konami wanajua kile nina taka🀣🀣🀣
 



Kwenye haya 25 magoli 24 nadhan ni Nje ya Box,πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Umempata na kiberenge Vini kazi ipo πŸ˜† hizo counter πŸ™Œ
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Uzuri Card yake ni CF ambayo ni Adv Striker nilivyopata moja kwa moja akapitiliza kikosini


Na ana through pass nzuri ngoja nicheze nae nijue namna ya kumtumia...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒmkikutana na kikosi yangu ni counter tuu kama sichezei possession game vile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…