Mkuu ubora wa kocha nahisi inategemea na mahitaji ya timu yako kimbinu.Habari wakuu, kocha gani ni bora kwa sasa kwa waliopo kwenye pack?
Situmii mkuu.Pamoja mkuu, moch cloner hutumii?
Kama mimi japo nlichukia kumbe hafiki 102 kwa kocha wanguView attachment 3272972
Nimeamua kuvunja kibubu walau nipate striker mzuri zaidi kwa matumizi ya sasa.
View attachment 3272973
Fernando Torres.
Mimi pia mkuu hajafika 102 nasubiri nipate booster yake nione itakuwaje ila kwa upande wangu na mahitaji ya kikosi changu kwa sasa nampa rate ya 10/10.Kama mimi japo nlichukia kumbe hafiki 102 kwa kocha wangu
Hii ni ile aacount yako nyingine?View attachment 3279909
Kikosi kina siku ya 5 leo any comnent🤔
Pole sana.Noo ile nilipoteza, cloned app iligoma kufunguka na nlikuwa sija link account
Mkuu unakaza vidole mpaka unatamani angekuwa karibu umpige hata kofi yaani huchezi kwa raha😂.Kaza vidole😂
Kim Min Jae anajua sana 🙌View attachment 3279909
Kikosi kina siku ya 5 leo any comnent🤔
Niliokota dodo chini ya mnazi😀 usichoke kujaribu coin kadhaaCoin zangu leo zimepotea hizi tamaa daah🥲