eFootball Special Thread

😃😃😃 Nimepata shida sana kuchangua leo😃😃 ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...

Nikakumbuka kwenye game 100 napiga cross moja😃😃nikamuacha Cavani
Wiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt 😂
 
Micky Mtu kaka🤣🤣

Beraldo ni Sub yake


Ni maoni yangu lakn kwa approach Yangu
Kwangu Beraldo anaanza mkuu maana anauwezo mzuri kwenye ball controll, low na lofted pass, tigh pissession, dribling, n.k

Hivyo vyote Micky hana, form yake ni A pia wakati Micky ni C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…