Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Haha sawa bana 😀🤣🤣🤣Eeh bora tukamiane mwishoni sio mwanzoni
Haha sawa bana 😀🤣🤣🤣Eeh bora tukamiane mwishoni sio mwanzoni
Sisi watengeneza account kwa wachezaji wa bure hilo siyo la kuuliza, wowote wataokuja ni kupita nao tu.Sijui wataleta wakina nani...
Kwa jinsi akina Constacurta na Cafu wananvyonikaba nipo mbion kununua account 🤣🤣🤣ambayo itakuwa na hawa jamaaSisi watengeneza account kwa wachezaji wa bure hilo siyo la kuuliza, wowote wataokuja ni kupita nao tu.
PamojaUtakutana na Friend Request huko mkuu
Yangu Myunani
Wadau watakuletea za kwao
Upo tukaguse??Pamoja
Binafsi hapana, nitakimbizana nao na hawahawa wachezaji wangu wa bure 😂Kwa jinsi akina Constacurta na Cafu wananvyonikaba nipo mbion kununua account 🤣🤣🤣ambayo itakuwa na hawa jamaa
Ngoja niendelee kukuza kikosi ila nikifungwa ndo hamu ya kununua kikosi kingine inakuja😂😂😂Binafsi hapana, nitakimbizana nao na hawahawa wachezaji wangu wa bure 😂
😃😃😃Unamtoaje Pedrinho Gonzalez😂😂😂mimi ukitaka kuniweza mkabe pedri hapo ujanja wote mfukoni😃😃😃View attachment 3377023View attachment 3377026nimeona nimtoe pedri kikosini akae uyo jamaa ,japo pedri ana kichafua sana kati kati lakini kwa mfumo wangu naona yuko slow sana maana napenda kutumia through pass ,, Nime jaribu CMF Box to box wawili na anchor man kama DMF naona timu iko njema , saa 4 Selikavu Edo kissy Razorblade itabidi tuguse 😅😅 View attachment 3377024
😹😹pedri ana kichafua sana ,tatizo kwangu aja kizi mfumo😃😃😃Unamtoaje Pedrinho Gonzalez😂😂😂mimi ukitaka kuniweza mkabe pedri hapo ujanja wote mfukoni😃😃😃
Sema huyo jamaa sema Zairy Emery anakaba mzee hapo kati pamekaa njema😃box to box wawili kati kati ni Uuwaji... Nilikuwa nacheza na Pedri pamoja na Rice zaman😃ilikuwa unyama sana
Kuna alhamic moja wakaleta update Rice form Yake ikasoma D nikamtoa baada ya hapo sijawai waludisha tena kucheza pamoja
Saa nne kama kawaida mkuu au muda wowote me nipo tuu
Huyo uliyemweka nae ana balaa😹😹pedri ana kichafua sana ,tatizo kwangu aja kizi mfumo
Yani hichi kikosi naweza toa hela kwaajili ya Doue na Baston 😂View attachment 3377023View attachment 3377026nimeona nimtoe pedri kikosini akae uyo jamaa ,japo pedri ana kichafua sana kati kati lakini kwa mfumo wangu naona yuko slow sana maana napenda kutumia through pass ,, Nime jaribu CMF Box to box wawili na anchor man kama DMF naona timu iko njema , saa 4 Selikavu Edo kissy Razorblade itabidi tuguse 😅😅 View attachment 3377024
Nesta kaka sio powaYani hichi kikosi naweza toa hela kwaajili ya Doue na Baston 😂
Bado upoWakuu aliyepo online tukiwashe
😅😅Yani hichi kikosi naweza toa hela kwaajili ya Doue na Baston 😂
Nataka nipate SS wa asili mkuu, sasahivi nawatumia messi na palmer.Nesta kaka sio powa
TwendeBado upo