Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 351
- 833
Aisee kimecheka kinomašKaka umewaz nini š¤£š¤£š¤£š¤£ nimecheka kinoma yan comment yangu kuikuta uzi mwingine
Training Osihmen to 99š
Aisee kimecheka kinomašKaka umewaz nini š¤£š¤£š¤£š¤£ nimecheka kinoma yan comment yangu kuikuta uzi mwingine
Me nashangaa Osimhen mzee hafiki 99š¤£š¤£š¤£nikaona shida ya nn na chatgpt ipo š¤£š¤£š¤£Aisee kimecheka kinomaš
Training Osihmen to 99š
Me ngoja wenye kwao wafike kwanzaš¤£š¤£nitawakuta Division oneš¤£š¤£š¤£Baada ya Konami kuona kijana analalamika sana. Wakaona tumpe kijana wa size zakeš
View attachment 3374335View attachment 3374336
Hakuna Group la Whatsapp platform yetu ni hii hiiKama kuna group sap namuomba admin.
Mjukuu11Hakuna Group la Whatsapp platform yetu ni hii hii
Weka Username tukuadd mkuu
Utakutana na Friend Request huko mkuuMjukuu11
Booster yake nimeambiwa ni Technique lakin nashangaa hajafika miaBeraldo ā
View attachment 3376244
View attachment 3376245
Mkuu Selikavu mjaze kijana huyo, acha kutumia Random Booster š
View attachment 3376250
Mlazimishe šBooster yake nimeambiwa ni Technique lakin nashangaa hajafika mia
ššš Nimepata shida sana kuchangua leošš ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...Mlazimishe š
Wiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt šššš Nimepata shida sana kuchangua leošš ilikuwa ni Either nichukue Bullet Header ama Phenomenal pass...
Nikakumbuka kwenye game 100 napiga cross mojaššnikamuacha Cavani
Micky Mtu kakaš¤£š¤£Wiki nzima nilikiwa namfananisha Micky na Beraldo mpaka nikamshirikisha ChatGpt š
Kwangu Beraldo anaanza mkuu maana anauwezo mzuri kwenye ball controll, low na lofted pass, tigh pissession, dribling, n.kMicky Mtu kakaš¤£š¤£
Beraldo ni Sub yake
Ni maoni yangu lakn kwa approach Yangu
Me urefu ndo unanikataKwangu Beraldo anaanza mkuu maana anauwezo mzuri kwenye ball controll, low na lofted pass, tigh pissession, dribling, n.k
Hivyo vyote Micky hana, form yake ni A pia wakati Micky ni C.
Tusubiri wachezaji wengine wa selection contract šMe urefu ndo unanikata
Ukisema hivo ndo utakuta wote mnakamiana baadae dakika za mwisho ššMe ngoja wenye kwao wafike kwanzaš¤£š¤£nitawakuta Division oneš¤£š¤£š¤£
š¤£š¤£š¤£Eeh bora tukamiane mwishoni sio mwanzoniUkisema hivo ndo utakuta wote mnakamiana baadae dakika za mwisho šš
Sijui wataleta wakina nani...Tusubiri wachezaji wengine wa selection contract š