Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Lete jambo.Wakuu
Lete jambo.Wakuu
Na hao ni Rare case sanaNataka nipate SS wa asili mkuu, sasahivi nawatumia messi na palmer.
Vip mzee babaWakuu
Nilivyomuona Griezman nikachekelea halafu kumbe nae hamna kitu.Na hao ni Rare case sana
Hii card yake imekula chumvi ya kutosha...Nilivyomuona Griezman nikachekelea halafu kumbe nae hamna kitu.
Huyu kocha mzuri mzee anaongeza Stamina na Defensive awareness jilipue tuu😃😃View attachment 3377540😅😅nataka nijiripue pack nzima 1500 nipate kocha wa lBC wa 89 ,ila roho ina goma,
Ila si una Gasperini 😃😃View attachment 3377540😅😅nataka nijiripue pack nzima 1500 nipate kocha wa lBC wa 89 ,ila roho ina goma,
Pack yake haina watu mzee .. ngojea tuu wataleta soon hawa wa 500 wa LBC na Double boosterView attachment 3377540😅😅nataka nijiripue pack nzima 1500 nipate kocha wa lBC wa 89 ,ila roho ina goma,
Aha usiku ndo nakua nme tulia mchana purukushani nyingiUpo twende...
1500 nyingi sana mkuu subiri wa jeroView attachment 3377540😅😅nataka nijiripue pack nzima 1500 nipate kocha wa lBC wa 89 ,ila roho ina goma,
Ndio nimeona Thursday ana expire labda wataleta wenginePack yake haina watu mzee .. ngojea tuu wataleta soon hawa wa 500 wa LBC na Double booster
😅ngoja nisubiri mkeka ujao1500 nyingi sana mkuu subiri wa jero
Pow usiku leo tutapandaAha usiku ndo nakua nme tulia mchana purukushani nyingi
Ngojea hawa wa 500Ndio nimeona Thursday ana expire labda wataleta wengine