eFootball Special Thread

Kama ulishawai kufika au huo msimu ulioisha kama ni hivi basi me nitakuwa Division 4
Hata kama tangu phase 1. Mana mi mara yangu ya mwisho kufika div 1 ilikuwa yangu mwezi wa 2 huko division sikucheza sana tena.
 
Nilitaka nicheze nae nione ana mpira gan maana sio kwa hizo mbwembwe


Ila Mr Balle hata sijaribu maana najua hiyo kikosi hakuna duniani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ anajichukulia tu kikosi kwenye vile alivyonavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ