Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,910
- 31,064
Ile nitaipata nikiwa na kikosi cha 3250😃😃Hii hapana 😂🙌.. ila huwa natamani sana siku nikaze nipate ile badge ya top 100 au 1000 nitatisha sana mambanga 😂
Ile nitaipata nikiwa na kikosi cha 3250😃😃Hii hapana 😂🙌.. ila huwa natamani sana siku nikaze nipate ile badge ya top 100 au 1000 nitatisha sana mambanga 😂
Kama kweli, mana nakutana Nigerians sanaKwenye Region yetu nadhani Division bado hamjaenda wengi😃😃
Mpaka ufike 3250 watu wapo 3400 wamepowa 😄 🤣Ile nitaipata nikiwa na kikosi cha 3250😃😃
Kule division ni pila objective tuu kama Robertinho 😃😃Mi sikuizi nikicheza friendly Possession ndo inanifaa ila kule efb league naona bila QC sitoboi
Kuna siku nikamuambia nitapiga sub moja dakika ya 70 akasema hakuna weka Auto😂😂😂MMOJA MWENYEW MTANDAO MZURI ASIEBADIL WAPIGA KONA WALA KUSTOPISHA GAME ATUME CODE DM TWENDE FRIEND
Ngoja week ijayo nikaanze kuponda mbuzi za division 8 huko maana sikucheza kabisa division msimu ulioisha😃😃Ndio. Naona saivi kama ulishawahi kufika div 1 lazima uanzie div 3View attachment 3368610
Haha, inaonesha huwa hataki usumbufu ni kucheza tu.Kuna siku nikamuambia nitapiga sub moja dakika ya 70 akasema hakuna weka Auto😂😂😂
Alafu Nigerians ni kama hawajui game😃😃au me ndo nakutana na vibonde😂Kama kweli, mana nakutana Nigerians sana
Kuna mtu anazidi 3300 kwan😃😃🙌Mpaka ufike 3250 watu wapo 3400 wamepowa 😄 🤣
Sidhani kama utaanzia division 8, utakuwa pale 5/6Ngoja week ijayo nikaanze kuponda mbuzi za division 8 huko maana sikucheza kabisa division msimu ulioisha😃😃
Anakuambia pause anayo ijua yeye ni ya konami tuu 😃😃😃Haha, inaonesha huwa hataki usumbufu ni kucheza tu.
Nawabonda kishenz wengine wanaweka no zao za simu, namfunga afu namtumia whatsapp na maneno ya kejeli 😂Alafu Nigerians ni kama hawajui game😃😃au me ndo nakutana na vibonde😂
Nitachek nione waliponipelekaSidhani kama utaanzia division 8, utakuwa pale 5/6
Nilikuwa napenda hiyo ya kuwatafuta Wakati nipo na Dls saivi nimekuwa mstaarabu mnoNawabonda kishenz wengine wanaweka no zao za simu, namfunga afu namtumia whatsapp na maneno ya kejeli 😂
Watafikia huko saivi. Haujaona kule kwa Zico kuna mtu ana 3280+ na hapo kuna wachezaji wapo reserve wana 105-6.Kuna mtu anazidi 3300 kwan😃😃🙌
Haha, mtu alieweka no akinifunga huwa natamani nimfate nimtukane ila nakaza 🤣Nilikuwa napenda hiyo ya kuwatafuta Wakati nipo na Dls saivi nimekuwa mstaarabu mno
Kumbe😃Kama ulifika Division one mmeanzia 3 wote😃😃
Nataka nijaribu tu kwanza kama kuunganisha nitatumia Google ID(Google Play Games).Hapana kubadilisha hauwezi ndo moja kwa moja hiyo...
Na haiitaji VPN 😃😃sema ujue kubadilisha lugha chrome unavyologin kuunganisha na konami Id😃😃maana watakuletea kijapan
Kazi kwenu muuane div 4 mechi 10 za moto 😃Kama ulifika Division one mmeanzia 3 wote😃😃
Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha 😂Kaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu 😂 sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuru