Watu wana mikwara dah😀Mr Balle anaombaga mara moja moja.... Ana hiyo message yake mzee sema nimeikosa... Anasema hakikisha umekula umeshiba, unatumia Voda, unajua game na mambo mengi kwel alafu anakuja kusema leta code😂😂🙌View attachment 3368568
Kwani ile acc yako ya Japan kuingia huwa unatumia na VPN juu?Hapana kubadilisha hauwezi ndo moja kwa moja hiyo...
Na haiitaji VPN 😃😃sema ujue kubadilisha lugha chrome unavyologin kuunganisha na konami Id😃😃maana watakuletea kijapan
Unakiwasha balaa 🔥View attachment 3368596
Division pamenoga sikuizi sitaki friendly games 😂😂🔥
Nilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona 😄Dah nimejaribu kucheza division leo kiwango changu kimeshuka sana
Ungeniua mkuu😃Nilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona 😄
Kaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu 😂 sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuruUnakiwasha balaa 🔥
Unaitaka hiiDivision 1 nafika ila nataka niwe na rank nzuri mwisho wa phase
Bado nipo Na Alonso wangu possession game imeshanishinda😃😃😃nipo n Qc tu badoHaujabadilisha mfumo? 😄
Hii hapana 😂🙌.. ila huwa natamani sana siku nikaze nipate ile badge ya top 100 au 1000 nitatisha sana mambanga 😂Unaitaka hiiView attachment 3368608
😃😃Huko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga kona😂😂😂Watu wana mikwara dah😀
Mi sikuizi nikicheza friendly Possession ndo inanifaa ila kule efb league naona bila QC sitoboiBado nipo Na Alonso wangu possession game imeshanishinda😃😃😃nipo n Qc tu bado
Hapana hamna haja ya VPN sema nawakosa epic nataka nidownload Panda VPN Nikitaka kuspine nawasha😃😃Kwani ile acc yako ya Japan kuingia huwa unatumia na VPN juu?
Ni form tuu alafu bado wale wenye division one yao hawajalud kwao😂😂😂Dah nimejaribu kucheza division leo kiwango changu kimeshuka sana
Ulianzia Division 3😃Nilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona 😄
MMOJA MWENYEW MTANDAO MZURI ASIEBADIL WAPIGA KONA WALA KUSTOPISHA GAME ATUME CODE DM TWENDE FRIEND😃😃Huko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga kona😂😂😂
Kwenye Region yetu nadhani Division bado hamjaenda wengi😃😃Kaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu 😂 sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuru
Kama ulifika Division one mmeanzia 3 wote😃😃Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Ndio. Naona saivi kama ulishawahi kufika div 1 lazima uanzie div 3Ulianzia Division 3😃